Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu

kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee

ni uchafu wa hali ya juu sana.....
nakupenda sn kwa jinsi ninavyopagawa kwako watasema umenipa limbwata
 
Jamani hivi kweli mtu unaweka nyama kunako kwa muda wa siku 7? Si kujitafutia maradhi tu jamani? Kama hanipendi hanipendi tu, sifanyi huo ujinga.
 
duh maisha haya......kila mtu na utashi wake....ambalo wew hauwezi kulifanya mwenzio analiweza....
 
Siku 7 ndo inaiva ama manake najua nyama ikikaa bila kuhifadhiwa kwenye chumvi inaharibika...
 
usiulize babu pigia mstari

na huyo mwanamke anakuwa analala na mumewe? kama ni ndiyo huyo mwanaume atakuwa mvumilvu sana kwa sababu hiyo harafu itakuwa kama panya aliyeoza ............... na je kuoga anaoga na kama anaoga hiyo nyama inawekwa wapi?
 
Mmmhhh, hivi hiyo nyama inayowekwa ktk PAPUCHI ya mwanamke kwa siku 7 haiaribiki/kuoza??? Naomba majibu tafadhali!!
uakoma na wewe si ndo unaingia ndani ya ndoa mwezi ujao,,,,,,, ukijitia ndomo uankula mzoga uwiii...............!!!!
 
Mmmhhh, hivi hiyo nyama inayowekwa ktk PAPUCHI ya mwanamke kwa siku 7 haiaribiki/kuoza??? Naomba majibu tafadhali!!
Inaoza na nasikia kadil inaVYOendelea kukaaa siku nyingi ndo limbwata inavyokua strong usiombe kanyama akakaweka mwezi MZIMA uko hyo limbwata yake balaa
 
Kule kwetu Tanga kila baada ya nyumba 3 ya 4 lazima umkute mwanaume aliyelishwa limbwata.
 
Siku 7 ndo inaiva ama manake najua nyama ikikaa bila kuhifadhiwa kwenye chumvi inaharibika...

Kwenye papuchi kuna chumvi, ndo maana wanapiata chumvini
 
na huyo mwanamke anakuwa analala na mumewe? kama ni ndiyo huyo mwanaume atakuwa mvumilvu sana kwa sababu hiyo harafu itakuwa kama panya aliyeoza ............... na je kuoga anaoga na kama anaoga hiyo nyama inawekwa wapi?

Wakati wa kulala na kuoga inatolewa na kuhifadhiwa sehemu maalumu
 
Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu

kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee

ni uchafu wa hali ya juu sana.....
Tick Tick mom.....hii ni hatwari!!
 
Siku 7 ndo inaiva ama manake najua nyama ikikaa bila kuhifadhiwa kwenye chumvi inaharibika...

Hapana kulala au kutolala nayo ni uamuzi wake.
Asipotaka kulala nayo huitoa na kuiweka ndani ya kingozi cheusi kilichopakazwa vumbi la kimti cha limbwata kile cha brown.
 
Wakati wa kulala na kuoga inatolewa na kuhifadhiwa sehemu maalumu

mmmmh inataka uvumilivu wa ziada jamani,,,,, sasa kuna raha gani kuishi na mtu yeye anakubali Tu hana challlenge!!!!!!!!!!!!!!! mmmh sioni kama ni mapenzi zaidi ya utumwa yani kabisa unajua akupendi ila ni dawa tu zinamshikilia Yataka moyo....
 
Mzee naona shule ya uchawi imeanza kujibu! mimi nasubiri somo la chuma ulete, maana nimefanya kazi sana sioni faida sasa nataka kula bila kujihangaisha, kipindi kiki fika ni PM

pole sana mkuu ,ongeza bidii ya kazi na sala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…