Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Ni kweli baadhi ya wanawake hawachezewi......nilishawahi kusikia kabila fulani ukimwacha mwanamke anakuendea kwa mganga...matokeo yake mwanaume hasimamishi tena.....yani mtalimbo unalala doro...

hawa si ndo wale watu wafupi kuliko wote tz kule magharibi mwa tz?

halafu unapewa dushelele nyiingi kwenye ungo unaambiwa chagua yako!! hahaaa!!

kuna jamaa alipewa mimba hivi hivi baada ya kumkimbia mtoto wa watu huko!!

chezea kgt all stars wewe!
 
mungu atunusuru mimi siwezi fanya na mungu asaidie kizazi changu wasilishwe maana nina vitoto vya kiume, halafu hiyo ya maji ya maiti nilishasikia hata mimi eti mwanamke ananuia kuwa kama huyu aliyelala ataamka basi na huyu fulani anataja jina aamke na kama hatoamka basi na huyu fulani asiamke hivyo hivyo..
 
mkuuu hapo kwenye RED nimecheka mpaka abiria wenzangu kwenye daladala wamedhani labda ndo uchizi unanijia.JAMANI JAMII FORUMS HAIISHAGI UTAMU.
 
Ndiyo maana hua naomba kabla ya kula, halishiki ng'o, litakugeukia unipende bure... afu msoc wa shori kula sio kinyujinyuji, wengine hua tunasingizia tupike wote, tunapika pamoja tunakula, ka si hivo basi sitengenezi situation ya yeye kunipikia kwani mke huyo..
 
Usiombe kukutwa na hili la LIMBWATA kama ni mwanaume...........
its too risky!!!!!!
 
Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu

kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee

ni uchafu wa hali ya juu sana.....

Hebu nielimishe tofauti ya kula nyama iliyowekwa ndani ya K na kulamba K kwa ulimi.

Kama hakuna tofauti ina maana wote wanaoteremka chumvini katika harakati za kupeana raha wanakula uchafu?
 
yaan mapenzd ya sangoma ni utumwa kuanzia muhusika mpk mhusishwa lol! sasa hilo pande la nyama funza hawadondoki kweli utembeapo? lo.l! bora nisipendwe kavu kavu nijue live kuliko kukuzezetesha udondoke kwangu...
 
Sasa jamaa akiomba papuchi kabla ya siku 7 itakuajee?
 
Hivi ni kweli limbwata ya mwamke kwa mwanaume ni kumyonya tundu ya m.k.ndu
 
 
Amakweli kuishi kwingi kuona mengi.
sikujua kama sindano hua haziuzwi usiku.
 
Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu

kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee

ni uchafu wa hali ya juu sana.....

bora dadaangu, kuna mtumishi mwenzangu kafanya mchezo huo hadi navosema amekuwa kama kichaa naanahudhuria krinic ya vichaa hapa moro, hatari iliyopo nikwamba huyu jamaa wakatimwingine anagoma kunywa chai ofisini anadai mkewe aje wanywe wote, mda wa kurudinyumbani anataka mkewe amfuate.hivi navosema yupombio kusimamishwa kazi. WAKEZETU MTATUUA JAMANI TUONEEN HURUMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…