Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

Ni kweli baadhi ya wanawake hawachezewi......nilishawahi kusikia kabila fulani ukimwacha mwanamke anakuendea kwa mganga...matokeo yake mwanaume hasimamishi tena.....yani mtalimbo unalala doro...

hawa si ndo wale watu wafupi kuliko wote tz kule magharibi mwa tz?

halafu unapewa dushelele nyiingi kwenye ungo unaambiwa chagua yako!! hahaaa!!

kuna jamaa alipewa mimba hivi hivi baada ya kumkimbia mtoto wa watu huko!!

chezea kgt all stars wewe!
 
mungu atunusuru mimi siwezi fanya na mungu asaidie kizazi changu wasilishwe maana nina vitoto vya kiume, halafu hiyo ya maji ya maiti nilishasikia hata mimi eti mwanamke ananuia kuwa kama huyu aliyelala ataamka basi na huyu fulani anataja jina aamke na kama hatoamka basi na huyu fulani asiamke hivyo hivyo..
 
mkuuu hapo kwenye RED nimecheka mpaka abiria wenzangu kwenye daladala wamedhani labda ndo uchizi unanijia.JAMANI JAMII FORUMS HAIISHAGI UTAMU.
Limbwata ni uchawi wa mapenzi unao tumika sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki. Lengo la uchawi huu ni kumpumbaza mwanaume na kumfanya asiseme chochote kwa mwanamke aliye mfanyia uchawi huu. Kwa mujibu wa maelezo ya Sangoma mmoja mkazi wa Mkata, Handeni, Tanga. Nguvu ya uchawi wa limbwata ni kubwa mara mia ya nguvu ya uchawi mwingine wa mapenzi uitwao SHUNTAMA ( Ukaege ) unaotumiwa na Bukobian women (Wahaya)
Katika uchawi huu, mwanamke huchukua kipande cha nyama ya n’gombe, mbuzi,kuku au bata na kukiweka kwenye tupu yake ya mbele kwa muda wa siku saba. Baada ya siku saba kukamilika, mwanamke huyo atakitoa kipande hicho cha nyama na kuchanganya na nyama nyingine ya kawaida pamoja na dawa maalumu ya kichawi na kupika kitoweo hicho kisha kumpa mwanaume ale. Mwanaume akisha kula chakula hicho, tayari anakuwa amesha shikwa na uchawi huo. Mwanaume huyu atampenda mwanamke huyo katika siku zote za maisha yake na atafanya kitu chochote kile ambacho mwanamke huyo atamtaka kukifanya. ( HER WISHWILL BE HIS COMMAND ). Wanaume wengi wameharibu maisha ya familia zao kwa sababu ya uchawi huu.
Nilitaka kujua kwanini NYAMA HUWEKWA KWENYE PAPUCHI na sio sehemu nyingine yoyote ya mwili ..
JIBU : Walatini wana msemo wao mmoja unasema “ QUICI QUIDI VAGINA, SOLOSOLO CEDIT “ wakimaanisha “ WHATEVER IS ATTACHED TO THE VAGINA, IT BECOMES A PART OF IT “ Ama “ CHOCHOTE KINACHOUNGANISHWA NA PAPUCHI KINAKUWA SEHEMU YA PAPUCHI “ kwa maana nyingine kinakuwa “ PAPUCHI KABISA “
Nini maana ya kuwa PAPUCHI ? Kuwa papuchi maana yake ni kuwa mtu usiye julikana upo upande gani .. Unajua papuchi haijulikani iko upande gani. Kwa sababu mwanamke akisimama, inakaa mbele, akiinama inaelekea nyuma na akichuchumaa inarudi chini . Na anaye weza kuamua papuchi ikae upande gani ni mwanamke mwenyewe, akitaka ikae mbele atasimama, akitaka irudi nyuma atainama na akitaka iende chini atachuchumaa. So mwanaume aliye lishwa limbwata anakuwa amefanyika kuwa papuchi ya mwanamke aliye mlisha. Kwa maana nyingine basi huyu mwanamke ndie atakaye amua ni kitu gani huyu mwanaume anatakiwa kukifanya, kwa namna gani na kwa wakati gani…
Hii ndio mantinki ya limbwata kupitishiwa kwenye papuchi ya mwanamke….
NEXT TIME NITAZUNGUMZA KUHUSU “UCHAWI WA SINDANO KATIKA MAPENZI “. Huu ndio uchawi wenye nguvu kuliko uchawi mwingine wowote ule katika mapenzi. Ukifanyiwauchawi wa SINDANO katika mapenzi wafwa! Stay Tuned Ufahamu kuhusu UCHAWI WA SINDANO…Najua unafahamu kwanini ukienda kununua sindano usiku hauuziwi..
 
Ndiyo maana hua naomba kabla ya kula, halishiki ng'o, litakugeukia unipende bure... afu msoc wa shori kula sio kinyujinyuji, wengine hua tunasingizia tupike wote, tunapika pamoja tunakula, ka si hivo basi sitengenezi situation ya yeye kunipikia kwani mke huyo..
 
Usiombe kukutwa na hili la LIMBWATA kama ni mwanaume...........
its too risky!!!!!!
 
Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu

kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee

ni uchafu wa hali ya juu sana.....

Hebu nielimishe tofauti ya kula nyama iliyowekwa ndani ya K na kulamba K kwa ulimi.

Kama hakuna tofauti ina maana wote wanaoteremka chumvini katika harakati za kupeana raha wanakula uchafu?
 
yaan mapenzd ya sangoma ni utumwa kuanzia muhusika mpk mhusishwa lol! sasa hilo pande la nyama funza hawadondoki kweli utembeapo? lo.l! bora nisipendwe kavu kavu nijue live kuliko kukuzezetesha udondoke kwangu...
 
Sasa jamaa akiomba papuchi kabla ya siku 7 itakuajee?
 
Hivi ni kweli limbwata ya mwamke kwa mwanaume ni kumyonya tundu ya m.k.ndu
 
Mwanaume huyu atampenda mwanamke huyo katika siku zote za maisha yake na atafanya kitu chochote kile ambacho mwanamke huyo atamtaka kukifanya. Wanaume wengi wameharibu maisha ya familia zao kwa sababu ya uchawi huu.
. So mwanaume aliye lishwa limbwata anakuwa amefanyika kuwa papuchi ya mwanamke aliye mlisha. Kwa maana nyingine basi huyu mwanamke ndie atakaye amua ni kitu gani huyu mwanaume anatakiwa kukifanya, kwa namna gani na kwa wakati gani…[/QUOTE

Hebu nijibu hili chini ya nukuu yako:
1-Mwanaume huyu atampenda mwanamke huyo katika siku zote za maisha yake na atafanya kitu chochote kile ambacho mwanamke huyo atamtaka kukifanya. Wanaume wengi wameharibu maisha ya familia zao kwa sababu ya uchawi huu.
Kutokana na statement hiyo hapo juu ni nani kati ya mwanaume na mwanamnke ambaye ameharibu maisha ya familia yao?Naomba nifananishe na dokta kampiga mgonjwa kaputi au madawa ya kulevya..baadae usingizi fofofo akamkamtumia kufanya anavyotaka (robot) bila mteja kujijua apo aliyemharibu mwenzie nani?

Mkuu Likud mimi ni LIMBWATA PROOF!

Ubaya wa papuchi ina both movements input and output(inaingiziwa na huwa inatoa) tofauti na mpinzani wake huwa anatoa tuu.
 
Amakweli kuishi kwingi kuona mengi.
sikujua kama sindano hua haziuzwi usiku.
 
Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu

kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee

ni uchafu wa hali ya juu sana.....

bora dadaangu, kuna mtumishi mwenzangu kafanya mchezo huo hadi navosema amekuwa kama kichaa naanahudhuria krinic ya vichaa hapa moro, hatari iliyopo nikwamba huyu jamaa wakatimwingine anagoma kunywa chai ofisini anadai mkewe aje wanywe wote, mda wa kurudinyumbani anataka mkewe amfuate.hivi navosema yupombio kusimamishwa kazi. WAKEZETU MTATUUA JAMANI TUONEEN HURUMA.
 
Back
Top Bottom