hawa si ndo wale watu wafupi kuliko wote tz kule magharibi mwa tz?
halafu unapewa dushelele nyiingi kwenye ungo unaambiwa chagua yako!! hahaaa!!
kuna jamaa alipewa mimba hivi hivi baada ya kumkimbia mtoto wa watu huko!!
chezea kgt all stars wewe!
Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu
kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee
ni uchafu wa hali ya juu sana.....
kichafu ni nn...nyama ama papuchi,sasa kama papuchi ndo chafu mbona yanyonywa?
Hivi, hivyo vitonge vya nyama viwekwavyo huko kwenye kwenye uke huwa havivundi?
Na huwekwa huko kwa muda gani?
Na huwa havizalishi bakteria wenye athari za kiafya dhidi ya papuchi?
hiyo ya maji ya maiti kuna kabila wanaitumia na wanaita "MNYOSHE"^^
Bora hiyo ndugu zako wanaweza kusaidia,,ipo ya maji ya maiti.
(ngoja nihifadhi kinywa changu)
^^
hiyo ya maji ya maiti kuna kabila wanaitumia na wanaita "MNYOSHE"
yan mwanaume akilishwa ananyooka kama maiti. Hasemi lolote ndan ya nyumba na anakuwa kama ndondocha.
Eeh Mungu tunusuri sie watoto wako maana hatujui nan mke mwema isipokuwa wewe Ebenezer
Yaani shosti nakupendaje? Mapenzi hayalazimishwi!!!!Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu
kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee
ni uchafu wa hali ya juu sana.....
Mbona K unamnyonyesha?au huo sio uchafu?Mhh haya mambo haya....sintokaa nifanye kama hanipendi hanipendi tu
kukimbizana kwa waganga kuweka nyama kwenye K.kumlisha mwenzio aisee
ni uchafu wa hali ya juu sana.....
Unaweza usimfanyie wewe, akafanyiwa na mwanamke mwingine
Kule kwetu Tanga kila baada ya nyumba 3 ya 4 lazima umkute mwanaume aliyelishwa limbwata.
Akili za wanawake bna poleni mnao kula nyama za kwenye papuchi zenye utoko,mtalishwa sana mwaka huu,bora sie vegetarian... Sijui kuna limbwata ya mchicha amah.?
Mbona K unamnyonyesha?au huo sio uchafu?
Yaani shosti nakupendaje? Mapenzi hayalazimishwi!!!!
Mhm, kuna watu wanaitwa Vaginatarian wenyewe hawana tabu na kula hizi vitu.
Hebu nielimishe tofauti ya kula nyama iliyowekwa ndani ya K na kulamba K kwa ulimi.
Kama hakuna tofauti ina maana wote wanaoteremka chumvini katika harakati za kupeana raha wanakula uchafu?
Haya mambo kweli yapo ila vipi kuhusu wanaume hawajui kutumia limbwata??manake kuna mwanamke mmoja amepigwa mpaka kavunjwa mguu alafu kaletewa mke mwingine ndani,kwa sasa analala chumba cha watoto..hiyo sio limbwata?