sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
hawa si ndo wale watu wafupi kuliko wote tz kule magharibi mwa tz?
halafu unapewa dushelele nyiingi kwenye ungo unaambiwa chagua yako!! hahaaa!!
kuna jamaa alipewa mimba hivi hivi baada ya kumkimbia mtoto wa watu huko!!
chezea kgt all stars wewe!
hahahaah........mimi simo.......