King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
kwaniniLawyers na Madaktari mjiandae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaniniLawyers na Madaktari mjiandae
Tena kwa vitendoKabisa lazima tujivumie kwani tumetekeleza ilani
Na kwa kishindo awamu hii si mchezoTena kwa vitendo
Apps zitajibu mahitaji ya wateja waokwa nn
Hii teknolojia nasikia ipo mpaka kwenye magari makubwa ya kisasa sijui ni kweli.
Kuna siku nilikuwa naangalia TBC walionesha ile Boeing dreamliner ya ATCL ikitua kwa Auto pilot nilishangaa sana, kilikuwa ni kitu cha ajabu sana kwangu dege kubwa kama lile eti linajiongoza lenyewe.
Kumbe ni kweli, basi teknolojia imekuwa sana mkuu, ni vipi gia zinakuwa manual au auto?Niliendesha Volvo XC90 ambayo Ina Autopilot
Kwa kweli ina performance nzuri sana ila niliendesha motorway kwa mda na inapunguza mwendo yenyewe na ikiona msongamano mwingi inakuambia ondoa
Lakini inatisha kidogo na sikuipenda Bora kuendesha kawaida tu
Kumbe ni kweli, basi teknolojia imekuwa sana mkuu, ni vipi gia zinakuwa manual au auto?
Hawa mabeberu ni hatari kila siku wanaumiza vichwa jinsi ya kurahisisha mambo.Hiyo ilikuwa ni auto Mkuu na Volvo ni ndinga ninazozikubali kwani mpaka auto parking assist inayo
Kama unatafuta parking unaingia parking ukiwa na speed ndogo sana halafu unabonyeza kitufe cha parking inaanza kutafuta parking yenyewe kwa kutumia camera zote
Hakuna kushika usukani inaingia yenyewe
Hapo ndio waliniacha hoi
Unaweza usiiamini gari ukasema inagonga
sifa ya maskini ni kujua vitu vingi hata vivyomhusu kama auto pilot nk tajiri hujua vitu vichache vinavyomhusu yeye kupata pesa
huu uzi naona kuna maskini wengi
mungu wangu tutakula wapi sisi marubani[emoji23]Bado kuondoa viti vya marubani tu.