Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow Africa
Nataka tueleweshane kidogo vitu vichache.
Defence mechanism means unconciouses starteges to avoid or reduce pain.
Hii ni njia moja wapo ambayo watu wengi hutumia kupunguza wasiwasi na uwoga hii defence mechanism inakusaidia wewe kupunguza hasira.
Types of defence mechanism
Diplacement
Hii ni aina ya kwaza ambayo watu wengi wanaitumia sana bila kujua wanafanya ili tu wapunguze hasira zao yaani mke kagombana na mumewe hasira zina hamia kwa watoto na dada wa kazi hii ni diplacement umeona mume huwezi kumpiga sasa mtoto akikurofisha kidogo ushambutua makofi
Denial
Hii ni kukutaa ukweli unajua umekosea lakini utaki kukubali kwasababu utaki kuruhusu hisia mbaya zikutawale kwahiyo unafanya hivyo ili tu ujisikie vyema kama kawaida
Regression
Hii mara nyingi inatokea pindi mtu anapokuwa na mawazo sana anachagua kitu ambacho kitampa furaha akiamin kuwa anapunguza mawazo mfano kunywa pombe
Acting out
Hii mtu anafanya kitu fulani ili kupunguza hasira hii uwa inanikuta sana nikiwa na hasira naweza kufanya kazi siku mzima mpaka hasira ziishe, yaani nimatendo ambayo mtu anafanya ili kupinguza hasira
Kwa leo hizi zinatosha kwa uchache