Fahamu madhara ya kuvaa chupi

Fahamu madhara ya kuvaa chupi

Mie nikiwa nimevaa bukta au boksa jamaa anadinda hovyohovyo tu hata mbele za watu ofisini.

Niliacha aisee maana siku moja nilikua nakata presentation mbele kwenye training nimepiga boksa ilikua shughuli kugeukia audience. Nilijuta na kukoma. Huwa navaa bukta nikiwa nimetupia jeans alafu sijachomekea....vinginevyo sithubutu!
 
Yataka moyo

Embu fikiria, midushe yenu huwa inasimama yenyewe bila shuruti Kila asubuhi....halafu ndio unatumia public transport unaikuta misuriali yenu imefura.....hilo basi mtapanda wenyewe muoneshane huyo mituno yenu......embu fikiria na sisi tumeacha kuvaa hizo pichu halafu tunatoka kwenye kitchen party halafu linakuja zinga la upepo......
.
 
kubana dushe si tatizo tatizo ni vichupa

usibane korodan maana production ya sperm hucanyika kule

sawa mkuu, lakini ni vigumu kyupi kubana dushe ikaacha kubana vibuyu--na hivi hasa ndivyo vinavyoathirika na huo mbano kwa kuwa ndivyo viwanda vya kuzalisha sperms. suluhisho mujarab ni kuacha kabisa kuvaa chupi.
 
Sipati picha hujavaa chupi,umechomekea halafu upo ofisini kikatokea kitamanio,mara dushe hiyiooo kama mnara sijui utafanyaje halafu ndo boss kakuita ghafla unatakiwa usimame uende!Ni shidaaa.
 
Nakuunga mkono mimi hizo mambo niliacha mwaka2000 ni mwendo wa bukta fupi hadi badae zilipokuja boxer za mtumba na hatimaye hizi za kisasa. Kipindi hicho zilikua zinatamba sana chupi zenye rangi za bendera za nchi mbalimbali zilizoshiriki worldcup mwaka98.
 
mi mwaka wa kumi na tano sivai chupi. Ni boxer tu. Mafanikio niliopata ni uume kukua na kurefuka kwa kasi na mbegu kuwa nyingi sana. Huwa naweza jaza kikombe cha chai! Sitanii!
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwenye eneo la nguvu ya sperms kwani wataalam wanasema joto lina madhara kwa kitu hiyo na ndo maana Mungu akazitengeneza nyeji zininginie kukwepa joto la mwili,hilo la kuongeza nguvu za kuperform ndo nimesikia kwako.
Kama ni kweli nashukuru kwa darasa.
 
haya bhana ujumbe wako umefika lakini sidhani kama ukweli wowote kuhusu hili huenda ni chuki tuu ili watu wasinunue chupi
 
Sipati picha hujavaa chupi,umechomekea halafu upo ofisini kikatokea kitamanio,mara dushe hiyiooo kama mnara sijui utafanyaje halafu ndo boss kakuita ghafla unatakiwa usimame uende!Ni shidaaa.
Hiyo ni rahisi mkuu unajifanya tumbo limekuuma ghafla unachuchumaa.
 
mkuu, makala iliandikwa kwenye gazeti moja la hapa nchini. makala yangu imektwa fupi kwa kuwa nimeiandika kwa kutumia simu ya mchina, ngoja nikiifikia kompyuta ghetto niitafute niianike humu. unajua hasa hawa dada zetu wanaovaa tamang'eo za kubana wanazitesa sana papuchi zao kwa kutozipa mwanya wa kupata hewa safi!

Haha haaaa ingizo jipya hili "tamang'eo" poa mkuu utendee haki bhana watu huenda tuakaokota mawili matatu ya kunusuru ndoa
 
Nilikuwa na hako kamchezo hapana kuvaa pichu kabisa, ila kunasiku nilitupia kajinsi kangu ka Savco nikataka kutupa kojo pembeni barabarami La! si zipu ikang'ata kichwa ya mzee wa nyumba! Yowe la pale sijawahi kupiga tena mana kufunga zipu siwezi kushusha siwezi. Unajua mkojo ulienda wapi? Nipm upate jibu teh teh teh
 
Embu fikiria, midushe yenu huwa inasimama yenyewe bila shuruti Kila asubuhi....halafu ndio unatumia public transport unaikuta misuriali yenu imefura.....hilo basi mtapanda wenyewe muoneshane huyo mituno yenu......embu fikiria na sisi tumeacha kuvaa hizo pichu halafu tunatoka kwenye kitchen party halafu linakuja zinga la upepo......
.

itakuwa shida sana nyamchele ila bora zenu huwa hata zikisimama huwa hazionyeshi
 
Last edited by a moderator:
Nakuunga mkono mimi hizo mambo niliacha mwaka2000 ni mwendo wa bukta fupi hadi badae zilipokuja boxer za mtumba na hatimaye hizi za kisasa. Kipindi hicho zilikua zinatamba sana chupi zenye rangi za bendera za nchi mbalimbali zilizoshiriki worldcup mwaka98.

asante mkuu. kutokuvaa chupi ni muhimu kwa afya yako. umeona eeh?
 
ni kweli issue nikuvaa mungiki tu,majambo yanakuwa yanakula upepo saaaafi kabisa.....
 
Back
Top Bottom