Nadhani pia ukitaja maeno ya wapiga pamba feki ni huko huko pia teh kuna mpaka balenciaga za elfu 40, Nike Airforce za elfu 70,Jordan Cement za elfu 60...sijui huu nao huwa ni ujanja.Huwa nabaki njia panda kiukweli.Kuliko kuvaa cheni feki ya rangi ya dhahabu bora mtu asivae kabisa huwa nawaza hivyoKama kichwa cha habari kinavyojielezea tunapozungumzia kumi bora ya maeneo yenye vijana watanashati mjini dar wanaojua kupigilia pamba na kuvaa vizuli .......
1.kinondoni
2.sinza
3.masaki
4.mikocheni
5.tabata
6.kimara
7.ilala
8.mwenge
9.makongo juu
10.changanyikeni
WoyoooooooKama kichwa cha habari kinavyojielezea tunapozungumzia kumi bora ya maeneo yenye vijana watanashati mjini dar wanaojua kupigilia pamba na kuvaa vizuli .......
1.kinondoni
2.sinza
3.masaki
4.mikocheni
5.tabata
6.kimara
7.ilala
8.mwenge
9.makongo juu
10.changanyikeni