Fahamu maeneo yenye vijana wengi watanashati mjini dar

Fahamu maeneo yenye vijana wengi watanashati mjini dar

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea tunapozungumzia kumi bora ya maeneo yenye vijana watanashati mjini dar wanaojua kupigilia pamba na kuvaa vizuli .......

1.kinondoni

2.sinza

3.masaki

4.mikocheni

5.tabata

6.kimara

7.ilala

8.mwenge

9.makongo juu

10.changanyikeni
 
Aisee! Kuna baadhi ya maeneo kuna watu wanashindia vibukta na ndala za buku jero mpaka unauliza katoka mkoani ama!
 
MAGOMENI ?
KIGOGO?
MANZESE?
I BUNG I
KUMAR A
MBEZI ?
KIBAHA MLANDIZI?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea tunapozungumzia kumi bora ya maeneo yenye vijana watanashati mjini dar wanaojua kupigilia pamba na kuvaa vizuli .......

1.kinondoni

2.sinza

3.masaki

4.mikocheni

5.tabata

6.kimara

7.ilala

8.mwenge

9.makongo juu

10.changanyikeni
Nadhani pia ukitaja maeno ya wapiga pamba feki ni huko huko pia teh kuna mpaka balenciaga za elfu 40, Nike Airforce za elfu 70,Jordan Cement za elfu 60...sijui huu nao huwa ni ujanja.Huwa nabaki njia panda kiukweli.Kuliko kuvaa cheni feki ya rangi ya dhahabu bora mtu asivae kabisa huwa nawaza hivyo
 
Mkuu kimara iondoe kabisa huko wamejaa wachagga wanavaaga suruali moja na shati mwaka mzima
 
Hamna eneo hata mija la wilaya ya temeke?!
 
Sisi wa Mabibo mbona hatupo kwenye list wakati tunakimbiza mbaya.......!!!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea tunapozungumzia kumi bora ya maeneo yenye vijana watanashati mjini dar wanaojua kupigilia pamba na kuvaa vizuli .......

1.kinondoni

2.sinza

3.masaki

4.mikocheni

5.tabata

6.kimara

7.ilala

8.mwenge

9.makongo juu

10.changanyikeni
Woyooooooo
Wilaya yetu inaongoza
 
Kwahio nikitoka huku Mbekenyela nikihamia huko kinondoni na wapi sijui nitakuwa napigilia sana pamba sio...
 
kwa hapo kinondoni (Jimbo) ungesema panaongoza USHOGA ningekuelewa
maana hao the so called watanashati wa eneo hilo si ndio wale wanatumia neno KUDAMSHI na wanashindia vibukta vya kubana na vikandambili 😂😂😂
 
Mbona ume tusahau sisi Wavuvi Wa Kigamboni?
 
Ahsante kwa taarifa. Ntatembelea nikasafishe macho
 
Back
Top Bottom