Alitoa mimba iligomaKwanini mtu amwite mwanae unisamehe?
Ata mimi naonaTuishie hapo tu Mkuu, tukiendelea nitakutukana bure π€£π€£
Ujaweka maana yameAnyosisye?
Anyingisye?
Andembwisye?
Atupakisye?
Tupoke?
amenitakasaMaana uja weka
Bila shaka!!Labda alizaa nje ya ndoa baba mwenye nyumba hajui π
Nimekosea au nimechanganya?Andindilwe na tuntufye ?
Ila Majina yenu huwa yananifurahisha sana ππAta mimi naona
Inakuja kuja hivi!Alitoa mimba iligoma
MwakaroboMwakampya.
nilifikiri namuwekea mtoa mada, yeye ndo anatoa maanaUjaweka maana yame
Dah πAlitoa mimba iligoma
Hahaha mm nimesema ongezea na maana zake nilio sahaunilifikiri namuwekea mtoa mada, yeye ndo anatoa maana
Bupe kama lipi lina kufurahisha?Ila Majina yenu huwa yananifurahisha sana ππ
Dah now nakuita bupeInakuja kuja hivi!
Sorry sikua nmeliona mkuuNimekosea au nimechanganya?