Mafeking
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 315
- 614
Atupokile - ametupokeaAtupakisy na Atupokile ina maana gani
Atupokile - ametupokeaAtupakisy na Atupokile ina maana gani
Atupakisye _ametuhurumia.Atupakisy na Atupokile ina maana gani
Nani yupo sahihi sasa?Atupokile - ametupokea
Atupokile _ametuokoa
OkUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Yote ni Sawa Tu, Ila ametupokea huvutwa Sana Ile ki inapotamkwa.Nani yupo sahihi sasa?
Aaaha hapo nimekuelewa na Tuntufye ni niniYote ni Sawa Tu, Ila ametupokea huvutwa Sana Ile ki inapotamkwa.
Yaani maana zake Kwa Kiswahili hutegemea utamkaji na dhima ya neno ndani ya sentensi.🤝
Tumsifu, tumtukuze(yeye Mungu)Aaaha hapo nimekuelewa na Tuntufye ni nini
Na Mwaikimba ni niniTumsifu, tumtukuze(yeye Mungu)
Anderdorg ni jina la kinyakyusa piaUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Hayo ya ubin pengine kina Nani kizazi cha nyuuuuma ndiyo wanaelewa maana yake.Na Mwaikimba ni nini
Sasa huyu Tuntufye anaitwa Tuntufye MwaikimbaHayo ya ubin pengine kina Nani kizazi cha nyuuuuma ndiyo wanaelewa maana yake.
Alamsiki!