G
guest-1787677352
Guest
MwankenjaAndambike.
MwankenjaAndambike.
Kumamoto mbona ni mji wa Japani, Masaki mbona ni jina la kijapani, Sato mbona ni jina la mtu Japani, Kazimoto mbona ni jina la kijapani, Mitimingi mbona naye ni mjapani!, Mbowe ni mnyasa! Kwa kifupi majina hayahisiani na taifa.Mpoki mbona ni mhaya, au alichukua jina tu
Andungwise😆😆😆😆
Hahahahaha!Simo olentongolo kale gwagile bhamo muno bhakamanya ekenyakyosa otile obhasyobhepo
HahahaahaKinyakyusa kiandike kama unavyokiongea, wala usipate tabu kwenye u weka u kwenye o weka o pia hatuna bh, mfano obhasyobhepo hapo ungeiandika tu ubasyobepo ♥️
Mwachiluwi=Mwakiluwi=kiluwi__sehemu za ndani za samaki zilizotumbuliwa(gutted) na kuchemshwa Kwa pamoja na kuliwa, huwa na Radha ya uchungu.Na Mwachiluwi maana yake ni nini?
Ipyana ni Neema, siyo hekimaKuna watu nawajua wana hayo majina,nikiangalia na maana zake wako tofauti,kama huyo wa chini hapo ni kama vile mbingu na ardhi...
Ipyana sio hekima ni NeemaLUSAKO. - BAHATI
LUSAJO. -BARAKA
LUGHANO. - UPENDO
LUTENGANO.-AMANI
LUSEKELO. -FURAHA
LUSUBILO. -TUMAINI
TUPOKIGwe-TUMEOKOLEWA
TUPOKE- TUOKOE
MPELI- MUUMBA
NTULI- MSAIDIZI
NTOLI- MSHINDI
MPOKI - MUOKOZI
KISSA -HURUMA
ULIMBOKA- NIOKOE
ANDINDILILE-AMENILINDA
ASUMILE - ALIOMBA
ANGANILE-AMENIPENDA
ATUGANILE - ALITUPENDA
ATUFIGWEGE -ASIFIWE
ANYISISILE - AMENIJIA
AFWILILE. - ALINIFIA
AHOBOKIILE - ALINISAMEHE
ASAJILE. - AMENIBARIKI
ANYOSISYE. AMENIBATIZA
ANYELWISYE. MENITAKASA NDIMBUMI. - Nipo UZIMANI
NDIMBWELU-NIPO KWENYE NURU
ATUPELE - ALITUPA
TUMPALE. TUMSIFU
NTUFYE. - MSIFU
GWAKISA- MWENYE HURUMA
GWAMAKA-MWENYENGUVU
GWANDUMI-MALAIKA
TISEKIILE-TUMEFRAHI
SEKELA -FRAHI
IPYANA. HEKIMA
ATUPAKISYE. ALITUJALI
USWEGE. UNISAMEHE
ANDONGWISYE-AMENIONGOZA
AMBWENE. - AMENIONA
GWALUGANO. MWENYE UPNDO
MJE MASO. MUWE MACHO
NEGWAKO. NI WAKO
ANDWELE. AMENILETA
ANDOBWISYE. AMENIVUSHA
TUSAJIGWE. TUMEBARIKIWA
LUTUFYO SIFA
AMBILIKIILE. AMENISIKILIZA
AMBINDWILE. AMENIBADILI
AMBELE. AMENIPA
AMANYISYE. AMENIFUNDISHA
AMULIKE. AMENIANGAZA
LUMULI NURU
LUBATIKO. UTALATIBU
SUBILAGA TUMAINIA
ANGETILE. AMENITAZAMA
ANDONDILE AMENITAFUTA
ANGANILe ANANIPENDA
ANGOLWISYE. AMENINYOSHA
ANDOGWISYE-AMENIONGOZA
NSAJIGWA MBARIKIWA
NKUNDWE. MPENDWA.
Ametupatia=atupeleAtupele
Atuganile
Naomba maana zao
Mwee umwee!😀She needs atleast an IQ above 120 to understand my explanation, otherwise her brains will liquify and ooze out through her ears which probably have multiple cheap piercings 🤣🤣🤣
NGETA KANUNU MA NIGGER 😎😎
Amenitawala_weee! Ugomvi Tu humo ndani🙌Andambike.
Mwachiluwi = Bwana Misosi 🤣Mwachiluwi=?
Mwee umwee!😀
Mno yaani.Haya majina yametakaswa 😎
Mno yaani.
NumpefikyeUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau