Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,126
Shida watu wakiona Jina lolote linaanzia na Mwa wanajua ni wanyakyusa,kuna akina Mwakalunde mwachiluwi nk hayo ni ya kibunguUjakosea kabisa 100%
Shida watu wakiona Jina lolote linaanzia na Mwa wanajua ni wanyakyusa,kuna akina Mwakalunde mwachiluwi nk hayo ni ya kibunguUjakosea kabisa 100%
Au BaunsaSiku hz vijana wanawapa watoto wao majina ya ajabu utasikia mtt anaitwa cyborg 😄😄
Hapo kwenye Andungwisye ni Andongwisye!Uswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
MwakinyeloHakuna kabila lenye majina yenye maana nzuri kama wanyakyusa, sidhani kama utakutana na jina la kinyakyusa lenye maana ya mateso,shida au tabu
Ntumpale_Tumpale.Ntuntufye
Ntumpale
Pilika
Atufigweghe
Amanyisye
Asukile
Angetile
Acha Matusi!Mwakinyelo
Na Mwachiluwi maana yake ni nini?Ndio uoni Mungu katupendelea sana mbeya
Hilo zuri!Bupe ni zawadi
Hatuna hilo jinaMwakinyelo
MwakipesileUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Mimi wananiita mnyakyusa ila ni mbungu ukiwaambia wana goma kabisaShida watu wakiona Jina lolote linaanzia na Mwa wanajua ni wanyakyusa,kuna akina Mwakalunde mwachiluwi nk hayo ni ya kibungu
LipoMpoki?
Jina limekaa kimafumbo fumbo Sana! Utakuta kuna mwanaume kashapigwa na kitu kizito hapo basi bidada anatubu kimoyo moyo🤓🤓🤓🤓Mbona ume shikilia hapo 😂😂 GWAMAKA USWEGE unaitwa uku ujibu mashtaka
Mm sijuagi maana yakeNa Mwachiluwi maana yake ni nini?
AhahahHilo zuri!
Ngoja nimforwadie mdada flani wa kaziniLipo
Hapo juu
KweliAnyandwile
... hili kama linakuja kuja maana hata bila kuambiwa! ananyanduliwa