Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

Uswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima

Ongezea mengine nilio sahau
Kuna watu nawajua wana hayo majina,nikiangalia na maana zake wako tofauti,kama huyo wa chini hapo ni kama vile mbingu na ardhi...
 
Hamna ukimpata mwanaume mwelewa ana mwaga nje ila akitaka kukukomoa ndio ana mwaga ndan
Kuna Yale majimaji huwa yanatangulia kabla ya shawaha zenyewe yanakuwaga na vijimbengu!!
Isitoshe hiyo inawafaa Sana wazee wa kimoko chali!!
 
Kuna Yale majimaji huwa yanatangulia kabla ya shawaha zenyewe yanakuwaga na vijimbengu!!
Isitoshe hiyo inawafaa Sana wazee wa kimoko chali!!
Ahaha kwani we unapenda amwagie ndani au?
 
Back
Top Bottom