Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

Raha ya kuzaa mwachi mnakaa chini mnakubaliana,
bwana eeeh huu ni wakati wetu WA kupata mtoto,
sawa sawa mtoto gani
WA kiume
haya Baba ngoja tubeti!!
Sasa ghafla bin vuu Tu huzioni siku zako jamani!!!
Mimi napenda mapacha sana mfano wale wa faiza dah ila sasa mwanamke sijampata nado
 
LUSAKO. - BAHATI

LUSAJO. -BARAKA

LUGHANO. - UPENDO

LUTENGANO.-AMANI

LUSEKELO. -FURAHA

LUSUBILO. -TUMAINI

TUPOKIGwe-TUMEOKOLEWA

TUPOKE- TUOKOE

MPELI- MUUMBA

NTULI- MSAIDIZI

NTOLI- MSHINDI

MPOKI - MUOKOZI

KISSA -HURUMA

ULIMBOKA- NIOKOE

ANDINDILILE-AMENILINDA

ASUMILE - ALIOMBA

ANGANILE-AMENIPENDA

ATUGANILE - ALITUPENDA

ATUFIGWEGE -ASIFIWE

ANYISISILE - AMENIJIA

AFWILILE. - ALINIFIA

AHOBOKIILE - ALINISAMEHE

ASAJILE. - AMENIBARIKI

ANYOSISYE. AMENIBATIZA

ANYELWISYE. MENITAKASA NDIMBUMI. - Nipo UZIMANI

NDIMBWELU-NIPO KWENYE NURU

ATUPELE - ALITUPA

TUMPALE. TUMSIFU

NTUFYE. - MSIFU

GWAKISA- MWENYE HURUMA

GWAMAKA-MWENYENGUVU

GWANDUMI-MALAIKA

TISEKIILE-TUMEFRAHI

SEKELA -FRAHI

IPYANA. HEKIMA

ATUPAKISYE. ALITUJALI

USWEGE. UNISAMEHE

ANDONGWISYE-AMENIONGOZA

AMBWENE. - AMENIONA

GWALUGANO. MWENYE UPNDO

MJE MASO. MUWE MACHO

NEGWAKO. NI WAKO

ANDWELE. AMENILETA

ANDOBWISYE. AMENIVUSHA

TUSAJIGWE. TUMEBARIKIWA

LUTUFYO SIFA

AMBILIKIILE. AMENISIKILIZA

AMBINDWILE. AMENIBADILI

AMBELE. AMENIPA

AMANYISYE. AMENIFUNDISHA

AMULIKE. AMENIANGAZA

LUMULI NURU

LUBATIKO. UTALATIBU

SUBILAGA TUMAINIA

ANGETILE. AMENITAZAMA

ANDONDILE AMENITAFUTA

ANGANILe ANANIPENDA

ANGOLWISYE. AMENINYOSHA

ANDOGWISYE-AMENIONGOZA

NSAJIGWA MBARIKIWA

NKUNDWE. MPENDWA.
 
Majina yote ya kilugha kwa wanyakyusa walitoa kutokana na tukio Fulani,mfano kuna ndugu yetu alipewa jina la tukhatele likiwa na maana tumechoka.alipewa jina Hilo kutokana na mama yake alikuwa akizaa watoto wanakufa,kwa hyo alivyozaliwa yeye wakasema wamechoka kuzika.mfano kyela kuna sehemu inaitwa ipyana jina Hilo lilikuja kutokana na wajerumani walikuwa wanawapa zawadi wazawa.wenyeji wakasema watu hawa wanna hekima.kwa majina ya sehemu au jina la mtu kuna tukio au sababu mpaka ikaitwa hivyo.
 
Mule mulee
 
Back
Top Bottom