Nyie ndo mnakataaga mimba,wataalamu wameshathibitisha mwanaume akimwaga Ile njia inakuwa Sio clean,kama akifanya tena inamaana Yale maji maji yanayotangulia yatakuwa na vijimbengu!!Huwez pata mimba kwa yale maji maji!!
Tatizo ni mimba zisizo tarajiwa hapo!Ahaha kwani we unapenda amwagie ndani au?
Ntuntufye=Tuntufye- TumsifuNtuntufye
Ntumpale
Pilika
Atufigweghe
Amanyisye
Asukile
Angetile
Basi sawa!Bas na hata hilo jina kunakua na background
Mwasaliba niachie ndugu yangu 😂😂😂 mwaka jana alitaka kuzi chapaMwasaliba - Askari mwenye sifa
Mwaisaka. - Askari mwenye kichwa Kikubwa
NdioKwamba afwilile =Amenifia?
Mimi nitakulea wew na kichangaTatizo ni mimba zisizo tarajiwa hapo!
ZawadiBupe.
Au sioMwamposa = Tapeli.
AminAu sio
Wapi Mwaipopo?Uswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Asante.Zawadi
Nzuri sanatwamasiku wakukaja
😂😂MAKONDA= Nimekula nisipolima.