shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Hapo nitabaki kutukana kimoyo moyo Tu huku natamani ijirudie tena🤓🤓🤓🤓Nalipia kwa kununulia nywele kwa UNCLE T pale na vacation in paris hapo uchomoi
Hapo nitabaki kutukana kimoyo moyo Tu huku natamani ijirudie tena🤓🤓🤓🤓Nalipia kwa kununulia nywele kwa UNCLE T pale na vacation in paris hapo uchomoi
🤣🤣🤣Mwasa hajawahi kumodoa material . Halfan anajitunisha sana. Kujitolea au wale broiler?😁IO alphani reason kurutu IO anataka kuhesabu watu yeye ana taka kuwapiga dosso af doss lenyewe washakataza oh oh kesi ilikuwa ngumu
Na mimi sifanyi tena kosa ilo nakuwa mpoleee mda wote nipo home 😂Hapo nitabaki kutukana kimoyo moyo Tu huku natamani ijirudie tena🤓🤓🤓🤓
Awe makini asije akajichanganya siku ukifa akaanza kusema Bora wangekufa wenzio we ubaki😂😂😂 acha tu ndio jicho lake af mwenyewe toka utotoni alikuwa ana sema wewe ndio utakae kuja kunisaidia hao wengine buree
Ahaha si alikamatwa akiwachangisha kurut pesa ili doss lipungue 😂😂 walichomfanya wakaunganisha kombania zote kazi ikaendelea🤣🤣🤣Mwasa hajawahi kumodoa material . Halfan anajitunisha sana. Kujitolea au wale broiler?😁
😂😂 ata umia sana sijabarikiwa sana kama wenzangu ila na mkumbuka toka nipo mdogo up now ndio maana akili yake ipo kwangu najua kujaliAwe makini asije akajichanganya siku ukifa akaanza kusema Bora wangekufa wenzio we ubaki
Mwakampya = Kaliwa kichwaMwakampya.
Dah 😂😂
Ngoja akusikie mwenye jina lake GWAMAKA USWEGE
Mbona ume shikilia hapo 😂😂 GWAMAKA USWEGE unaitwa uku ujibu mashtaka
Mpoki ni OKOA, au mwakoziHivi mpoki ni mnyakyusa?
Bi mkubwa hapo akapiga hesabu zake akaona umejutia makosa na Una huruma! Usimwangushe bhana,baraka zetu nyingi zinatoka kwa wazazi wakifurahi na Sisi mambo yetu yanatuendea vizuri!😂😂 ata umia sana sijabarikiwa sana kama wenzangu ila na mkumbuka toka nipo mdogo up now ndio maana akili yake ipo kwangu najua kujali
Kipindi nipo mtoto alitaka kunipiga sasa katika kukimbia si nikarusha jiwe likampata jichoni uwezi amini kesho yake niko shule nalia mwenyewe wakati narudi nyumbani nikaenda kwenye miembe ya watu nikaboboa maembe nika mpelekea sasa wakat nampa nikaanza kulia duh akaniombea pale ikawa mtu akitaka nifokea kuhusu ilo swala anakuwa mkali sana
Filombe ni mahindi, tuseme mtu wa mahindiMwafilombe
Sure tumletee mapacha aseeBi mkubwa hapo akapiga hesabu zake akaona umejutia makosa na Una huruma! Usimwangushe bhana,baraka zetu nyingi zinatoka kwa wazazi wakifurahi na Sisi mambo yetu yanatuendea vizuri!
Mapema Sana Ka uswege na Ka Nani?Sure tumletee mapacha asee
Silisyene, MwakapwisaUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau