Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #201
Tumechelewa sana na Gwamaka
Mapema Sana Ka uswege na Ka Nani?
Mapema Sana Ka uswege na Ka Nani?
Hiki kibantu aiseeUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Mwakisu - chinjachinjaUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Maana uja(hauja) wekaMaana uja weka
Lete na maana kabisa ya Gwamaka Baba uswege usijekuta Lina maana mbaya!Tumechelewa sana na Gwamaka
Sekaga pia ni kinyakyusa, cheka'gaHiki kibantu aisee
===
Ambwene= amboine
Lusekelo=Lushekero
Andindilie= andinzile
Sekela= sekaga
Lugano=Lukundo
Mwenye huruma + uswege 😂Lete na maana kabisa ya Gwamaka Baba uswege usijekuta Lina maana mbaya!
Mama yake wa mbeyaMpoki mbona ni mhaya, au alichukua jina tu
Tutindaga, Nsajigwe, NtuliUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Mwenye huruma+unisamehe🤗🤗🤗🤗 haya Baba kazana Kula karanga mbichi+mihogo uongeze rutuba zoezi liwe rahisi Bibi apakate wajukuu toka kwa mtoto Pendwa!Mwenye huruma + uswege 😂
Endelea kutengeneza juice nzitooo jambo liwe jepesiMwenye huruma+unisamehe🤗🤗🤗🤗 haya Baba kazana Kula karanga mbichi+mihogo uongeze rutuba zoezi liwe rahisi Bibi apakate wajukuu toka kwa mtoto Pendwa!
Yaani hapo ni kimoko Tu shwaaaa Uswege na mwenzake Gwamaka hawa hapa🤓🤓🤓🤓Endelea kutengeneza juice nzitooo jambo liwe jepesi
Kumbe na ww unayamanyaAnyosisye?
Anyingisye?
Andembwisye?
Atupakisye?
Tupoke?
Utasema maana yake amejamba...😃😃Afyusisye😛😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka sanaAnyandwile
... hili kama linakuja kuja maana hata bila kuambiwa! ananyanduliwa
Muda wote upo bize ni wewe na vitunguu na carrot na curry powder, mara ukune nazi mara utwange kisamvu.....saa ngapi unatafuta mke.Kuish nae kabisa sio kuzaa tu