Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Nayamanya kabisa,Kumbe na ww unayamanya
Nayamanya kabisa,Kumbe na ww unayamanya
Hao nimesoma nao na nilikua sijui maana ya majina yaoAmetupatia=atupele
Ametupenda=Atuganile
Yeah! And definitely the distinct value, our names carrying on has been revealed explicitly to those named to.Our names bear profound spiritual meanings. We don't just name our children, musing about ghosts, dead people or some dark experience, we unambiguously name them glorifying GOD THE MOST HIGH.
Maana yake ndiyo hiyo mkuu.Hao nimesoma nao na nilikua sijui maana ya majina yao
Tulia mwansasuUswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Hapana wote wa kikeMaana yake ndiyo hiyo mkuu.
Bila Shaka mmoja alikuwa wa kiume(Atupele) na mwingine kike(Atuganile)
Huyu Mhaya sio MnyakyusaMbona hamumtaji shemeji yenu BUPE aliyenikaribisha Mbeya?
Aaah! Nimezoea kuwaona kina Atupele ni meHapana wote wa kike
Atupele wakike nimekutana nao sanaAaah! Nimezoea kuwaona kina Atupele ni me
Ooh! Sikulijua hili, eneo lile huwa ni wa kiume mara nyingi. ShukuraniAtupele wakike nimekutana nao sana
Yap karibuOoh! Sikulijua hili, eneo lile huwa ni wa kiume mara nyingi. Shukurani
Hapana huyu Atupele ni ke sio meAaah! Nimezoea kuwaona kina Atupele ni me
Tumesikia,Tupilike ni ?
Hata mimi sijui mkuuMbona ujaweka na maana zake
Upo sahihi mkuu, nami nilikozaliwa na kukulia kina Atupele ni me Sanasana.Hapana huyu Atupele ni ke sio me
Po mma gwagituSimo olentongolo kale gwagile bhamo muno bhakamanya ekenyakyosa otile obhasyobhepo
Atupakisy na Atupokile ina maana ganiUpo sahihi mkuu, nami nilikozaliwa na kukulia kina Atupele ni me Sanasana.
Ke ni ...
Atuganile
Atupakisye
Atupokile