Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #221
Kazi inakuwa sio ngumu kazi inakuwa ni kukuganda nifanane naoYaani hapo ni kimoko Tu shwaaaa Uswege na mwenzake Gwamaka hawa hapa🤓🤓🤓🤓
Kazi inakuwa sio ngumu kazi inakuwa ni kukuganda nifanane naoYaani hapo ni kimoko Tu shwaaaa Uswege na mwenzake Gwamaka hawa hapa🤓🤓🤓🤓
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Anyandwile
... hili kama linakuja kuja maana hata bila kuambiwa! ananyanduliwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Chizi weweKazi inakuwa sio ngumu kazi inakuwa ni kukuganda nifanane nao
Yaaan ulipo nipo sikuachi kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Chizi wewe
mala nyingi ni imani ya kidini (kristo) unisamehe Mungu,tuntufye kyala,gwamaka kyala nkKwanini mtu amwite mwanae unisamehe?
😂😂😂Usitamke kwa sauti kubwaUtasema maana yake amejamba...😃😃
Baba Uswege unakaba mpaka penat hutaki masihara!Yaaan ulipo nipo sikuachi kabisa
Acha kabisa mama gwamaka tena hao mapacha wazaliwe mwezi wa 6Baba Uswege unakaba mpaka penat hutaki masihara!
Kwanini mwezi wa sita?Acha kabisa mama gwamaka tena hao mapacha wazaliwe mwezi wa 6
Mwezi ninao upenda sana kwetu wengi tumezaliwa mwezi uhoKwanini mwezi wa sita?
Umejitahidi kutuelimisha ila hapo kwa Andolile umekosea,hiyo maanayake ni amenishinda,ukitaka neno linalo maanisha amenitafuta,ni Andondile,halafu unamakosa machache ya spelling,mfano Mwalugano inatKiwA iwe Gwalugano,kwa ujumla nakupa big up sana!Uswege = unisamehe
Andungwise = ameniongoza
Ambwene = ameniona
Mwalugano = mwenye upendo
Negwako = niwe wako
Andombwise = ame nivusha
Tusajigwe = tumebarikiwa
Ambele = amenipa
Subiraga= tumainia
Angetile = amenitazama
Andolile = amenitafuta
Nkundwe= mpendwa
Sekela = furahia
Lusako= bahati
Lugano = upendo
Lutengano = amani
Lusekelo = furaha
Tupokigwe = tumeokolewa
Tupoke = tuokoe
Mpeli = muumba
Mpoki = mwokozi
Kisa = huruma
Andindilile = amenilinda
Afwilile = amenifia
Atupele = ametupa
Ntufye = msifu
Gwantwa = mwana wa Mungu
Gwakisa = mtu mwenye huruma
Ipyana = hekima
Ongezea mengine nilio sahau
Asante sanaUmejitahidi kutuelimisha ila hapo kwa Andolile umekosea,hiyo maanayake ni amenishinda,ukitaka neno linalo maanisha amenitafuta,ni Andondile,halafu unamakosa machache ya spelling,mfano Mwalugano inatKiwA iwe Gwalugano,kwa ujumla nakupa big up sana!
Kwahiyo Baba Uswege kwenye mwezi wa 10 hivi hucheki na wowote ni Moto juu ya Moto🤗🤗🤗🤗🤗Mwezi ninao upenda sana kwetu wengi tumezaliwa mwezi uho
Upo sawa kabisa,hayo ni majina yenye kumtaja MUNGU,mfano Anyosisye ikiwa na maana kwamba MUNGU amemuosha yaani ameoshwa na MUNGU dhambi zote.Hakuna kabila lenye majina yenye maana nzuri kama wanyakyusa, sidhani kama utakutana na jina la kinyakyusa lenye maana ya mateso,shida au tabu
Andambike.Mbona ujaweka na maana zake
Jiandae yaaani hakuna kupumzika kabisa ni mwendo mdundoKwahiyo Baba Uswege kwenye mwezi wa 10 hivi hucheki na wowote ni Moto juu ya Moto🤗🤗🤗🤗🤗