Fahamu makabila yanayopatikana ndani na njee ya Tanzania

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza makabila yanayopatikana Tanzania na nje ya Tanzania tukianziaa

1.wakurya wa Tanzania na wakurya wa Kenya.

2.wamasai wa Tanzania na wamasai wa Kenya.

3.wachaga watanzania na watanzania wa Kenya

4.wabondei wa Tanzania na wabondei wa Kenya.

5.wabembe wa Tanzania na wabembe wa Congo.

6.wamanyamema wa Tanzania na wamanyema wa Congo

7.warangi wa Tanzania na warangi wa Ethiopia.

8.waha wa Tanzania na waha wa Burundi na Rwanda ila kule wanajulikana kama watwa.

9.Watusi wa Rwanda na Watusi wa Tanzania hawa wapo tabora

10.waganda kyaka wa Uganda na waganda kyaka wa bukoba.

11.wanyoro wa Uganda na wanyoro wa Tanzania ambao sisi tunawaita wahaya

12.wamakonde wa Tanzania na wamakonde wa msumbiji

13.wayao wa Tanzania na wayao wa msumbiji

14.wajaluo wa Tanzania na wajaluo wa Kenya

15.wafipa wa Tanzania na wafipa wa Zambia

16.wanyakyusa wa Tanzania na wanyakyusa wa malawii

Haya endeleeeaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…