Fahamu makampuni ya kigeni pamoja na uwekezaji wake

Fahamu makampuni ya kigeni pamoja na uwekezaji wake

JohnDunia

New Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
2
Reaction score
0
**GOOD NEWS TO ALL MCC MEMBERS THE PLAN HAS BEEN MODIFIED **
MINING CAPITAL COIN (MCC) NI KAMPUNI YENYE MAKAO MAKUU MAREKANI, LAKINI KWA SASA INA OFISI SEHEMU MBALI MBALI IKIWEMO KENYA, MIAMI, FLORIDA, NI KAMPUNI AMBAYO INAJIHUSISHA ZAIDI NA MINING WORK OF ALTCOINS, KAMPUNI HII INATOA FURSA YA UWEKEZAJI KWA KUNUNUA HISA ZIFUATAZO:*

▶MINING BRONZE(20points)
hii ni package ya dola 125$ (312500/= tshs) ambapo utalipwa kwa wiki kiasi cha 10$ (25000/=tshs kila wiki kwa mda wa wiki 52)

▶MINING SILVER(40points)
hii ni package ya dola 250$ (625000/= tshs) ambapo utalipwa kwa wiki kiasi cha 20$ (50000/=tshs kila wiki kwa mda wa wiki 52)

▶MINING GOLD(80points)
hii ni package ya dola 500$ (1250000/= tshs) ambapo utalipwa kwa wiki kiasi cha 35$ (87500/=tshs kila wiki kwa mda wa wiki 52)

▶MINING PREMIUM(160points)
hii ni package ya dola 1000$ (2500000/= tshs) ambapo utalipwa kwa wiki kiasi cha 70$ (175000/=tshs kila wiki kwa mda wa wiki 52)

▶MINING PLATINUM (320points)
hii ni package ya dola 2000$ (5000000/= tshs) ambapo utalipwa kwa wiki kiasi cha 140$ (350000/=tshs kila wiki kwa mda wa wiki 52)

*NOTE: KILA PACKAGE UNAPOJIUNGA UTATAKIWA KULIPIA 50$ KAMA HELA YA MEMBERSHIP FEE KATIKA KAMPUNI*

🤝🏼NETWORKING
REFFERAL BONUS NI 10% KWA MTU UTAKAYE MUUNGA

🏆BINARY BONUS UTAPEWA 50% YA BUSNESS POINT ZA WEAK LEG

💰WITHDRAWS AND DEPOSIT
👉BITCOIN
👉E MONEY TRANSFER

*WEBINAR MEETING ZINAFANYIKA FREQUENTLY NA CEO ANATEMBELEA NCHI MBALI MBALI KULIPO NA WAWEKEZAJI PIA KUNA ZAWAD MBALI MBALI KWA CAREER RANK TOFAUTI TOFAUTI 💵💰*
 
Ukiona fursa inakufuata ujue wewe ndo fursa yenyewe sasa :

Mangi Kyimelue:
 
Nimesikia thamani ya hizi virtual currencies imeporomoka sana mpaka watu wanauza mining machines kwa bei ya kutupa
 
Nimesikia thamani ya hizi virtual currencies imeporomoka sana mpaka watu wanauza mining machines kwa bei ya kutupa
Ni kwel mkuu zimeporomoka sna...kaa mbali nazo kabisa
 
Sawa. Tupe maelekezo jinsi ya kujiunga na kununua hisa.
oky! maelekzo ni simple bila shaka umesoma package zake kama umezielewa basi andaa mtaji wa laki wa dolar 175 minimum investment zen jiunge hapa:
jiunge hapa: Sign Up

for more info PM
 
Ukiona fursa inakufuata kama ulivosema mangi mwenzangu ujue wewe ndio fursa yenyewe kabisa.
 
Baada ya barua hii inayoenea mitandaoni kutoka cyber crime unit marekani.. Naomba wapiga chapuo watupe maelekezo. Samahani.
 
The good thing ni kwamba kuna watu watajiunga. Maboya huwa hawaishi duniani. Wanazaliwa kila siku. Ndo maana matapeli wana wavuna kila siki. Ova
 
Back
Top Bottom