Fahamu Mambo 10 Kuhusu El Chapo (The Drug LORD)

Fahamu Mambo 10 Kuhusu El Chapo (The Drug LORD)

10.Anaulinzi wa zaidi ya rais wa marekani na kwenye mizunguko yake ya kawaida anatembea na walinzi 15 makomandoo.

View attachment 268553

Nawasilisha
Mmh. Komandoo kumi na tatu ndo ulinzi kuliko Rais wa marekani anayelindwa na mamia ya secret service agents wenye equipments ambazo ni the best? Chumvi hapo umezidisha mkuu
 
Eti ana ulinzi kuliko Rais Wa Marekani hivi unaujua ulinzi Wa Obama au unaongea kwa kuwa umevimbiwa pilau la Eid labda uniambie ana ulinzi kama Wa Mbowe
 
Namba 10 wametia chumvi. Anaweza kuwa na ulinzi mkali sawa, lakini kwamba eti ulinzi wake ni mkali kuliko Rais wa Marekani is going too far.
 
Angekuwa bongo tayar angekuwa rais wa nchi au waziri
 
Juzi juzi naona wamewamaliza wakina el mayo na mtoto wa el chapo....
Sasa hii familia ya el chapo wote wataishia gerezani,anyway ndy maisha ya biashara ya madawa

Ova
 
Juzi juzi naona wamewamaliza wakina el mayo na mtoto wa el chapo....
Sasa hii familia ya el chapo wote wataishia gerezani,anyway ndy maisha ya biashara ya madawa

Ova
Kitu kinachonishangaza kwanini hawauwawi wanaishia jela tu
 
Back
Top Bottom