Fahamu mambo 11 ambayo huyajui kuhusu samaki

Kambale ana mapafu
 
Ameanza kuwepo miaka 500M iliyopita akitokea wapi?
 
Napenda sana kambale...nikifika dodoma lazima nile kambale wa kutoka hombolo
 
Hii taarifa uliitoa wapi??
 
Hiyo ya kufanya na kufanywa nimeielewa aiseeee....
Kumbe ndiomaana skuizi kuna samaki wamelegea sana, bilashaka watakua ni magasho....🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…