Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 664
Hongera kwa uamuzi aisee,Hi
Watu wamekua wananunua sana subaru forester.. nimeshawishika kununua moja nimeiona ya mwaka 2011.. anayefahamu undani wake anaweza ku share uzoefu hasa katika matatizo yake na namna ya ku fix
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haInategema na matumizi yako.
Ukiitumia kwa adabu, utafurahi. Haina shida, ground clearance ya kutosha, All Wheel Drive, well balanced barabarani. Wengi wanapata tabu wanapotaka kuzifanya za mashindano, usiingie kwenye mtego wa kuongeza power (tuning) tumia kama ulivyolikuta (stock).
Mafuta haina tofauti sana na Xtrail au Rav 4 Kili Time. Angalizo kama umetokea kwenye magari madogo ya Toyota (IST, Vitz etc), gharama ya parts na service itakustua kidogo 😁😁😁
Kabisa.... tune at your own risk.Ha ha ha
Hii mambo, imetesa sana raia.
Matokeo yake, gari leo iko barabarani, kesho iko garage .. ushauri mzuri sana asiifanyie tunings. Though kuna sport zake ambazo zinakuja zikiwa tuned, moja kwa moja from japan,
Kuna kifaa kinafungwa Kwenye Subaru zenye turbo charge kinaitwa DUMP VALVE,wengi wanafunga kwasabb ya ule mzuka wa valve zinapofungua Ila madhara yake baadae ni makubwa Kwenye engineInategema na matumizi yako.
Ukiitumia kwa adabu, utafurahi. Haina shida, ground clearance ya kutosha, All Wheel Drive, well balanced barabarani. Wengi wanapata tabu wanapotaka kuzifanya za mashindano, usiingie kwenye mtego wa kuongeza power (tuning) tumia kama ulivyolikuta (stock).
Mafuta haina tofauti sana na Xtrail au Rav 4 Kili Time. Angalizo kama umetokea kwenye magari madogo ya Toyota (IST, Vitz etc), gharama ya parts na service itakustua kidogo 😁😁😁
Mkuu tunaomba Upunguke kwa kutuelimisha hayo madharaKuna kifaa kinafungwa Kwenye Subaru zenye turbo charge kinaitwa DUMP VALVE,wengi wanafunga kwasabb ya ule mzuka wa valve zinapofungua Ila madhara yake baadae ni makubwa Kwenye engine
Maneno ya mafundi wetu wa mtaani wanadai gari inakosa pulling hasa Kwenye miinuko na pia itakulazimu ufungue cylinder head kwaajili ya kusafisha valves...
Mkuu kuna tofauti gani kati ya Subaru Forester 2.0XS na 2.0 XT?.. na ipi ni chaguo bora?ukweli ni kwamba subaru ni gari nzuri sana natumaini ukinunua autajuta kwani
1. aina magonjwa
2.kama ni mtu wa kusafiri itakupa utulivu kwa barabaa
3.mafuta inakula kawaida kabisa
4.kwenye barabara za vumbi linapiga bila shida
hasara ya subaru
jamii inamtazamo wanaomiliki na kuendesha subaru ni vijana wahuni
ila nunua tu autojuta
Tofauti ni kwamba subaru forester XT inakuwa na turbo wakati subaru forester X20 hii aina turbo (non turbo) hiyo ndo tofauti ya msingi japo zipo nyingine ndogo ndogoMkuu kuna tofauti gani kati ya Subaru Forester 2.0XS na 2.0 XT?.. na ipi ni chaguo bora?
Best choice btn the two?...turbo ndo dubwana gani?...toa shule kidogp mkuu...Tofauti ni kwamba subaru forester XT inakuwa na turbo wakati subaru forester X20 hii aina turbo (non turbo) hiyo ndo tofauti ya msingi japo zipo nyingine ndogo ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nijaribu kidogo kumsaidia kujibu ;Best choice btn the two?...turbo ndo dubwana gani?...toa shule kidogp mkuu...
Tofauti kubwa ni namna engine inapumua, bila turbo engine inapumua bila usaidizi. Ikiwa na turbo, hewa inagandamizwa na kuwa na pressure kubwa zaidi (boost).Best choice btn the two?...turbo ndo dubwana gani?...toa shule kidogp mkuu...
Nimekupata boss,shukrani.Tofauti kubwa ni namna engine inapumua, bila turbo engine inapumua bila usaidizi. Ikiwa na turbo, hewa inagandamizwa na kuwa na pressure kubwa zaidi (boost).
XT ni turbo na XS ni ya kawaida.
XT ina power zaidi, wenyewe subaru wanasema XS ni 140hp na XT ni 220hp. Kwa sababu XS engine yake ni simple haina vitu vingi, ni more durable na inakula mafuta kidogo zaidi, ila haitembei sana. XT ni moto mwingine, chaguo ni lako. On a personal point, tushatoka na XT saa 12.30 jioni Himo Moshi, by saa 5 usiku tulikuwa Tegeta. Chaguo ni lako.
Hahahah Enzi hizo Ssangyong inaitwa "Musso" zilikuwa gari za ushuani sana. Prado akaja kuifuta sokoni.Hongera kwa uamuzi aisee,
Ila siku nyingine kamwe usifanye manunuzi ya kitu kwasababu unaona 'wengi' wananunua.
Huwezi kujua, hao wengi huwenda hawana taarifa sahihi za wanachonunua.
Miaka fulani ya nyuma huko, kabla ya Toyota Noah kuwa maarufu, watu wengi walinunua gari zinaitwa Toyota Lucida. Na wengine wakanunua magari fulani ya kikorea yanaitwa Ssangyong.
Little did they knew, magari yale yalikua ni tatizo ... hayakuweza kumudu hali za huku.
Niseme kwa bahati nzuri, chaguo ulilofanya ni zuri.
Ni gari inayohimili sana, hali nyingi za barabara hata kwenye vumbi.
Haha, them good old days!Hahahah Enzi hizo Ssangyong inaitwa "Musso" zilikuwa gari za ushuani sana. Prado akaja kuifuta sokoni.
ukweli ni kwamba subaru ni gari nzuri sana natumaini ukinunua autajuta kwani
1. aina magonjwa
2.kama ni mtu wa kusafiri itakupa utulivu kwa barabaa
3.mafuta inakula kawaida kabisa
4.kwenye barabara za vumbi linapiga bila shida
hasara ya subaru
jamii inamtazamo wanaomiliki na kuendesha subaru ni vijana wahuni
ila nunua tu autojuta