Yes ni all wheel driveNi all wheel drive?
Yes ni all wheel driveNi all wheel drive?
Subaru xt bei mil 21 imported from Japan imetembea km 60k na ina mwaka na nusu tangu inunuliwe.. n ya 2008 na cc yake ni 1490.. colour ni black... Iyo ractis ni mil 14 yenyewe inatumia mfumo wa gesi ila ukitaka niweke bila gas nakubadilishia mfumo
Huyu mburura tu kwani wanao endesha Toyota hawafi? Hata tunao panda mabus tunakufa tu. Subaru ni gari ya wanajua magari. Iko stable, ina Changanya haraka, iko conformable, ina option nyingi za uendeshaji na haichoshi ukiwa kwenye uskani.Kaka hapo kwenye Red unaweza kuonja mauti au unakufa?
We nawe unazingua ungechukua hata highlights nzuri kadhaa kwenye hilo group lenu then uje uanzishe uzi wa hiyo Mazda hapa unatutoa kwenye reli.Karibuni telegram group la Mazda CX-5 ili upate maarifa na uelewa juu kutoka Kwa wamiliki wa hapa bongo
Tz Mazda CX-5 family
Hili ni group maalum Kwa ajili ya wamiliki na wanaotaka kuja kumiliki Mazda CX-5t.me
Ingia be forward utaona kila kitu...Ghatama kuagiza gar subar forester ya 2013 sh ngp had mkonon
,Kuna improvements zozote kwenye consumption ya gari yako ulizipata? Maana nami kuna jamaa yangu anayo ya 2015 pia kwa town trip inabigia, ila highway hadi 13Km/L inaenda, au ndivyo zilivyo?Wakuu naomba kuuliza fuel consumption ya Subaru Forester SJ5 ya 2013 ikoje?
Napata average ya 7km/l kwenye daily routes in aevrage full tank inaenda 400km. Hii ni kawaida au kuna shida mahali? Nikiwa highway ndo atleast napata mpk 10-12km/l. Wenye uzoefu naomba ideas
kama lipo la subaru tafadhali naomba mniungeKaribuni telegram group la Mazda CX-5 ili upate maarifa na uelewa juu kutoka Kwa wamiliki wa hapa bongo
Tz Mazda CX-5 family
Hili ni group maalum Kwa ajili ya wamiliki na wanaotaka kuja kumiliki Mazda CX-5t.me
Hii gari ukienda Arusha imeshakuwa Kijora kama ilivyo IST Mkoani Dar es Salaam na Harrier Mkoani DodomaWakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote ya husuyo hizi aina za haya magari.
Stability zake, upatikanaji wa spare na mengine yote ambayo mtu yeyote angependa kuyajua.Huyu jamaa yupo mkoani na amejaribu kuangalia aina hizo hazipo na yeye yupo interested nayo kwa kuwa ni 4DW kulingana na maeneo anayoishi anahitaji mkoko wa namna hiyo.
Kwa kuwa JF inakila aina ya uelewa kwa niaba yake naomba niwasilishe ili apate la kumsaidia kwenye hii issue nzima.
---
---
---
---
---
---
---
Subaru ni kijora pia Dodoma.Hii gari ukienda Arusha imeshakuwa Kijora kama ilivyo IST Mkoani Dar es Salaam na Harrier Mkoani Dodoma
Magari vijora huko Mikoa mingine njooni mtiririke kutaka hayo Magari
Kijora ni gari zilizopo katika Mkoa zilizo nyingi kuliko zote
😂 😂 😂Subaru ni kijora pia Dodoma.
Bora utembelee Subaru Dar unaweza kuwa sio kijora kuliko Dodoma.