Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Subaru xt bei mil 21 imported from Japan imetembea km 60k na ina mwaka na nusu tangu inunuliwe.. n ya 2008 na cc yake ni 1490.. colour ni black... Iyo ractis ni mil 14 yenyewe inatumia mfumo wa gesi ila ukitaka niweke bila gas nakubadilishia mfumo
 
Karibuni telegram group la Mazda CX-5 ili upate maarifa na uelewa juu kutoka Kwa wamiliki wa hapa bongo
 
We nawe unazingua ungechukua hata highlights nzuri kadhaa kwenye hilo group lenu then uje uanzishe uzi wa hiyo Mazda hapa unatutoa kwenye reli.
 
,Kuna improvements zozote kwenye consumption ya gari yako ulizipata? Maana nami kuna jamaa yangu anayo ya 2015 pia kwa town trip inabigia, ila highway hadi 13Km/L inaenda, au ndivyo zilivyo?
 
Hii gari ukienda Arusha imeshakuwa Kijora kama ilivyo IST Mkoani Dar es Salaam na Harrier Mkoani Dodoma

Magari vijora huko Mikoa mingine njooni mtiririke kutaka hayo Magari

Kijora ni gari zilizopo katika Mkoa zilizo nyingi kuliko zote
 
Subaru ni kijora pia Dodoma.
Bora utembelee Subaru Dar unaweza kuwa sio kijora kuliko Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…