Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Asante sana mkuu nimeridhika na mawazo yako hadi sasa sina woga tena wa kummiliki huyo mfalme wa maspeed kwa road
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nina wasiwasi na hiyo filter ya 8000/- angalia wasikuharibie huyo mnyama!
 
Poa kaka hiyo ni model ya 2005 ila hata 2004 si mbaya


Sent from my iPhone using JamiiForums app
Dah mkuu hilo jina linanikusha Prison break at Sona.. by the way unaitwa na Sammy na Tbag.....
 
subaru inategemeana na model year na engine cc. kuna first generation,second generation kama hyo aliyotuma huyo member kwenye picha na third generation ambazo zipo za kuhesabu mjini hapa. iun terms of engine cc kuna aina tatu kama sio nne namely,ej18 ambyo ina 1800 cc non turbo,kuna ej20{ej20T} ambyo ni 2000cc non turbo na 2000cc turbo{T represents turbo}, na ej25{ej25T}.
katika ej25T kuna STI version which is tuned for perfomance that means kama mafuta kwako kidogo ya mawazao itakuwa inakupa pressure zaidi.
on my side i preffer second generation forester ya mwaka 2006 yenye ej20t maana ina perfomance nzuri na economic and comfortable.
 
altezza gita gari nzuri sana hata me nazpenda ila lina tatzo 1:at high speeds haiko balanced.maana power to weight ratio ni kubwa sana halafu braking yake ni ndogo so its likely to get an accident usipokuwa makini.infact hilo ni tatzo kwa altezza zote hasa hz ambzo zina high ride height.
1 thing to note wen unainunua ni hii,usinunue yenye logo ya lexus kwa mbele,hyo ni 6 cylinder,hizi za kwaida ni 4 cylinder which is yamaha tuned
 
Yakwangu mimi inatumia 1ltr/8 kms NOT ECONOMY . Ina turbo kwa kweli ni mashine ambayo sijutii kwanini nimenunua, spare zake ziko juu ila kwa hivi karibuni zimeanza kushuka bei nadhani ni kutoka na kuongezeka kwa subaru forester.

Spare yake ikifungwa ni nikama vile umefunga ndoa. Nina almost 4 years nayo tokea ninunue ,spare ambazo nimebadilisha ni shock abs tuu. Na zaidi ilikuwa ni fuel pump Labda na betri ambayo ni kawaida kufa .lakini mpaka sasa haijawai nisumbua ,barabarani wanaijua ikikupita we acha tuu iende maana speed na balance achana nayo.

Respect to FUJI HEAVY INDUSTRY.
 

Thanx mkuu umesomeka
 
kama unahitaji gari chukua subaru hiyo ni mashine nzuri spidi pamoja na balance mi natumia legacy touring wagon mambo mswano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…