Fahamu matumizi sahihi ya Blender lako ili lidumu muda mrefu

Fahamu matumizi sahihi ya Blender lako ili lidumu muda mrefu

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966

Blenda ikitumika vizuri hudumu zaidi. Haya ni maelekezo kutoka kwenye manual:
  • Soma kitabu/karatasi ya maelezo (user manual) juu ya namna sahihi ya kuitumia blenda yako husika
  • Hakikisha jug imekaa vizuri kwenye base kabla ya kuwasha.
  • Shikilia jug kabla ya kuwasha Usalama kwanza
  • Toa soketi ukimaliza kutumia na kabla ya kusafisha.
  • Osha jagi pekee. na hakikisha maji hayagusi chuma chini ya jagi lako.
  • Usizamishe motor base kwenye maji.

    Matunzo:
  • Kila mara toa soketi kabla ya kusafisha.
  • Futa body na cover kwa kitambaa au sponge.
  • Futa shaft na motor kwa kitambaa kikavu au tishu.
  • Usioshe jug sehemu za wembe(blades) kwa mkono.

*Blenda inahitaji muda wa kupumzishwa, usafi wa mara kwa mara, na matumizi sahihi.
 
Njooni niwauzie blender hapa wakuu🙏
 
Back
Top Bottom