Fahamu matumizi sahihi ya Blender lako ili lidumu muda mrefu
Blenda ikitumika vizuri hudumu zaidi. Haya ni maelekezo kutoka kwenye manual:
- Soma kitabu/karatasi ya maelezo (user manual) juu ya namna sahihi ya kuitumia blenda yako husika
- Hakikisha jug imekaa vizuri kwenye base kabla ya kuwasha.
- Shikilia jug kabla ya kuwasha Usalama kwanza
- Toa soketi ukimaliza kutumia na kabla ya kusafisha.
- Osha jagi pekee. na hakikisha maji hayagusi chuma chini ya jagi lako.
- Usizamishe motor base kwenye maji.
Matunzo:
- Kila mara toa soketi kabla ya kusafisha.
- Futa body na cover kwa kitambaa au sponge.
- Futa shaft na motor kwa kitambaa kikavu au tishu.
- Usioshe jug sehemu za wembe(blades) kwa mkono.
*Blenda inahitaji muda wa kupumzishwa, usafi wa mara kwa mara, na matumizi sahihi.
Njooni niwauzie blender hapa wakuu🙏
Mimi ni winga wa electronics za aina zote.
AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer.
Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu.
Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu.
Niungeni mkono wakuu🙏
Nipo kariakoo 📍
For quick response
Whatsapp 0617129135