hapo ndio usiseme yaani naporomoka mpaka ngozi pia hubadilika ya uso .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi soap dish Zina muda na muda.
Nikiwa na stress zinakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako anataka kunenepa we gym unataka ukamkomaze....
Hebu tuelekeze na sisi tukaguse tu iwemo
Aisee
Ukiipata na mm naiomba
Hahah!hapo ndio usiseme yaani naporomoka mpaka ngozi pia hubadilika ya uso .
Dah πππ we mwanamke ni mgovi sana ujue naona unapiga campaign kabisa simiss Saint Anne wanangu tule naona huyu bibie atatufanya tuwe mabalozi muda sio mrefu.simiss Super Villain siwezi kuwaacha nyuma team visoap dish ππππ
Nimeridhika mbona
Tena akazane kula vya mafuta mafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Kama yupo juu ya 25 mwache anenepe kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha nguo ndefu mm mtihani, kuna siku iliniangusha sina hamu
Nini maana ya question mark mbili?Nani alikwambia gym kuna komaza??
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah [emoji23][emoji23][emoji23] we mwanamke ni mgovi sana ujue naona unapiga campaign kabisa simiss Saint Anne wanangu tule naona huyu bibie atatufanya tuwe mabalozi muda sio mrefu.
Bado hujaridhikaNimeridhika mbona
Kuzaa bado sana [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena akazane kula vya mafuta mafuta
Yesu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha nguo ndefu mm mtihani, kuna siku iliniangusha sina hamu
Ngoja nijitahidi
Halafu subiri hata ufike 25Ngoja nijitahidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Basi hakuna shida Depal kuanzia leo ww ndio balozi wa vimbaumbau dunia nzima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu naye kimbaombao tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jizazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saint Anne,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chalanga iliniangusha kwenye ngazi. Nilikuwa nashuka ngazi mkononi nilibeba files yan sijui niliikanyaga skirt ikanikwaa nikateleza mpaka chini.
Niko very friendly na work mates lkn ile siku niliona aibu mpaka nikawa nawaogopa kisa kudondoka