simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,168
Punguza kufukia uvipate ππsimiss Super Villain siwezi kuwaacha nyuma team visoap dish ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza kufukia uvipate ππsimiss Super Villain siwezi kuwaacha nyuma team visoap dish ππππ
Hahaha!Huyu Depal anatamani sana kuwa na visoap dish lakini haez. Kashatumia chia seeds na mazoez lakini bado anaumuka [emoji23][emoji23][emoji23].. tatizo anapenda vinono Depal hii timu huingii miaka elfu..tuache na Saint Anne
Wamerekebisha na wamefuta Sasa
Saint Anne [emoji1][emoji1][emoji1]
Zawadi gani mbaya bhanaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zawadi gani mbaya bhanaa
Wakutumishe Wewe Meseji PM kwng hiy ndio itakua zawad[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua kuzawadiwa zawadi ya uzi ni bahati ambayo Ni watu wawili tu mmewahi kuipata humu.
Wewe na ZoΓ«
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hata yeye amewahi fanyiwa hivyo kumbe!!
Me sioni kama ni zawadi hiy, zawad uifirahie bwana eeeh
Nidondokewe tuu na li-PM nikachinje Jogoo mie [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jogoo tutakula wote?
Pata PESA tu MKUU,,,, hakuna dawa ingineWadau habari,natafuta dawa ya kuongeza ukubwa wa mwili,yaani kunenepa.Sio dawa per se ila zile virutubisho vya kunenepesha.Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Aki ya nani nije pm[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ohoo unauliza Makofi Polisi
Of course YES why not Lazma tule wote Yani, Niangukiwa tuu na Li-PM Lako [emoji38]
Tena we leave nothing there Mpk utumbe sieti tunagonga [emoji38]??
Sawa nitaweka maelezo.We una kisanga
Sasa mtu hata kama ana kipato fulani and then. Asubuhi mchana yuko ofisn au kwenye inshu zake then home ni jioni tu huoni hata akikwambia haitosaidia?
Vipato vina budget zake sio hela yote utamalizia kwenye msosi. Usiwe kama hukusoma hesabu za makadirio ....we kadiria mfano kwa siku maximum 10k etc
Haki ya Mungu na Mtume Anna [emoji38][emoji38][emoji38]
Haki ya Mungu na Mtume Anna [emoji38][emoji38][emoji38]
It's true [emoji2][emoji2]
Angalia na upande wa tabia, roho mbaya huwa inaharibu vitu vingi sana ikiwamo mwiliMimi ni kijana wa 24 years umbo langu ni 1GB nataka ni angalau 4GB nisha kula mayai mboga za majani nyama mpka supu ya kitimoto na mtura si nenepi
Am Coming Coming [emoji2][emoji2][emoji2]
ππππ nimekunywa hadi soup ya konokono lakini hali bado ngumu..Huyu Depal anatamani sana kuwa na visoap dish lakini haez. Kashatumia chia seeds na mazoez lakini bado anaumuka πππ.. tatizo anapenda vinono Depal hii timu huingii miaka elfu..tuache na Saint Anne
Nini maana ya question mark mbili?