Fahamu mbinu mbalimbali za kuongeza mauzo ya biashara yako

Mkuu lamba like kwanza , mi nimekupata vizuri kabisa bila chenga
 
Kwa mfano, ukiona sehemu haina biashara ya kuuza mgodoro jua hiyo sehemu biashara ya magodoro haitembei. Ukiona sehemu zipo biashara nyingine lakini lakini biashara ya nguo au viatu eneo hilo haipo, wewe usije ukaanzisha biashara hiyo eneo hilo, utaifunga.
Kafanye biashara sehemu yenye biashara.

Hapa nimetumia udhoefu wakuu.
 

Hapa sijasema ufanye biashara iliyokuwa haipo ili utofautiane na wengine.

Ninachosema uingie katika soko lenye ushindani (kama kuuza spare) na u specialize kwenye segment ya soko hilo (kama kuuza spare za magari ya nissan tu) ili utofautiane na wauza spare wengine.
 
Safi sana mkuu, umeisema kweli, ni kama njia iendayo mbinguni ni nyembamba na waipitiao ni wachache.
 
Si kweli
 
Asante mkuu kwa ushauri mimi kuna sehemu nilifungua biashara ya kuuza juice maji soda sigara nk nyuma nilikuwa nauza sana baada ya mwezi mmoja kupita wamekuja watu wengine wamekuja kufungua biashara kama yangu ya ushindani umekuwa mkubwa sana mauzo yameshuka sana naomba ushauri nifanye aje nikabiliane na huu ushindani
 
Safi sana.
 
  • Wateja wako wako mtandaoni.
Kutokana na takwimu za TCRA Zaidi ya watanzania milioni 25 ni watumiaji wa intaneti. Hii ina maana kuna kundi kubwa la watu ambao unaweza kuwafikia kupitia mtandao na wakaijua biashara yako. Gharama za intaneti zimeshuka, simu janja zimekuwa nyingi, watu wengi wanapata taarifa muhimu kupitia mitandao kwanza kuliko TV na radio. Je, ni wateja kiasi gani unataka kuongeza kwenye biashara yako? Njia gani umepanga kuwafikia wateja wapya? Ni wakati muafaka wa kutumia fursa hii kujipambanua mtandaoni wewe na biashara yako ili kutafuta masoko na kuongeza mauzo.
Mfano ni MakJuice jinsi alivoweza kujua wateja wake wako mitandaoni na amefanikiwa kukuza biashara yake kwa kutumia Instagram tu.

  • Washindani wako kibiashara wanatafuta wateja mtandaoni
Kama nilivyosema hapo juu intaneti inaongeza fursa kwa biashara kuwafikia wateja kwa gharama nafuu Zaidi, je unadhani washindani wako kibiashara wamelala hawalijui hilo? Hapana wako wanatafuta wateja na wanafanya matangazo ya biashara kwa wateja ambao wewe umewapa mgongo, wakati wewe ukisubiri hadi mtu apite mbele ya duka lako ndio ajue biashara yako wengine tayari washajua namna ya kuwafikia wateja wa mbali Zaidi na kuwavuta kwenye biashara zao.

  • Washindani wako hawatumii mitandao kutafuta wateja
Sio wewe peke yako ambae hujaona fursa ambayo intaneti imeleta katika kukuza biashara, mko wengi sana. Bahati nzuri wewe unasoma uzi huu ni wakati wa kuchukua hatua, wakati wengine wakisubiri wapita njia wewe fanya matangazo mitandaoni. Tafuta mtaalamu akutengenezee strategy ya mtandaoni na uifuate. Watangazie watu kuhusu biashara yako waonyeshe bidhaa zako, waambie bei zako na wavutie kwenye biashara yako.

  • Gharama nafuu kufanya matangazo.
Intaneti imerahisisha gharama za matangazo. Intaneti imefanya iwe rahisi kuwafikia watu wengi kwa gharama nafuu kuliko media yeyote ile iwe TV, radio na hata gazeti. Gharama unayoweza tumia kufanya matangazo kwa televesheni kwa siku moja unaweza itumia kwenye mtandao kwa mwezi mzima na ukapata matokeo chanya Zaidi. Unasubiri nini? Wakati ndio huu.

  • Taarifa (data) muda wote kuhusu wateja
Uzuri wa kutumia intaneti kufanya masoko ni uwezo wa kupata taarifa za wateja wako. Utaweza kujua wateja wanapenda nini, wana kipato kiasi gani, wanafanya kazi gani gani, rafiki zao ni akina nani, wanafanya nini mtandaoni na mambo mengine mengi sana. Taarifa hizi zina umuhimu sana kwa biashara maana zitakuwezesha kujua ni namna gani kuwafikia wateja wako na kwa wakati gani na kwa tangazo la aina gani.

Baada ya kusema yote hayo kama una biashara na una swali lolote kuhusu matumizi ya mitandao kwa biashara yako uliza hapa chini nami nitakujibu bure kabisa.

Na kama una biashara unahitaji wataalamu wakukuandalia strategy ya mtandaoni na kukutengenezea matangazo ya biashara ya mtandaoni na kuwafikia wateja wahusika na kukuza biashara yako basi PM yetu iko wazi pia unaweza piga namba hii 0762084961.
 
Service zetu ni kama zifuatazo.
Tutafanya online auditing ya biashara yako kujua una perform vipi online.
Tutafanya audience analysis ili kujua wateja wako wako wapi na vipi unaweza kuwafikia kwa matangazo gani.
Tutakutengenezea matangazo ya biashara ya picha na video yanayoendana na audience analysis tuliyoifanya.
Tutakusaidia kukuza account zako za social media
Tutafanya Copywriting ili kuweza kuwavutia wateja kwenye biashara yako.
Tuta manage account zako za social media.
Karibu tukuhudumie 0762084961.
 
Tunashukuru mkuu, vyote hivyo tumeshakamilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…