Je wajua ni kata ambapo ziko mbili yani Marangu Mashariki na Marangu Magharibi kila moja yenye vijiji na vitongoji vyake ambapo imezungukwa na Kata za Mamba kwa upande wa Magharibi na Kusini na Kata za Kilema kwa Upande wa Mashariki na Kusini na hupatikana ndani ya jimbo la Vunjo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.
Wa Marangu huzungumza Kivunjo kinachozungumzwa kote na kata za Vunjo yani (Kirua, Kilema, Marangu, Mamba na Mwika) ambapo lugha ya Kivunjo wanasikilizana na Kata za Old Moshi na Mbokomu kwa mbali pia.
Marangu ilijipatia umaarufu kwa kutoa kiongozi wa mwisho enzi za Umangi, ambapo alishinda uchaguzi ndani ya Vunjo na ndani ya Wilaya ya Moshi iliyokua na Mamangi Hodari sana wakitokea Old Moshi na Kibosho akaiwakilisha Moshi akapambanishwa na Mamangi wengine wa Rombo, Hai, Siha akashinda na kuwa Paramountain Cheaf (Mangi Mkuu)makao makuu pale Moshi Mjini. KDC (Kilimanjaro District Council) Pindi Mangi mkuu alipotokea Marangu alitamani Marangu ndo pawe makao makuu ya vunjo lakin hakufanikiwa kwa kiasi kikubwa na pindi serikali ilipokabiziwa kwa wa Tanganyika makao makuu yakapelekwa pale Himo.
Kwa upande mwingine Marangu imekua maarufu kama wilaya ya Moshi inavyofahamika zaidi na kumeza wilaya nyingine yani. Mfano Wakaazi wa Rombo, Hai, Mwanga na Siha badala ya kusema Kilimanjaro wao husema wanatoka Moshi bila kujua Moshi ni Wilaya tangu ma Babu na Ma Babu.
Tukija kwa Jimbo la Vunjo Wakaazi wa Kirua, Kilema, Mamba na Mwika husema hutokea Marangu bila kujua Marangu ni Kata tangu enzi za Umangi ambapo pia Kirua, Kilema, Mamba na Mwika nao walikua na Ma Mangi.
Pia Marangu imejizolea umaarufu kabla ya Mkoloni kwa kua Dola yenye nguvu ki uchumi pamoja na Wamachame huko Hai.
π