Fahamu mji wa Marangu

Fahamu mji wa Marangu

Marangu ni kama wahaya. Sifa kibao. Halaf si wachakarikaji.

Wachaga wapo Rombo, Kibosho. Hizi sehem mbili wanapiga kazi kama punda. Na mafanikio yanaonekana
Wamarangu wengi ni teachers, wakibosho na warombo na wamachame % kubwa ndio matajili wa hapa mjini

Note: freshoo na harshoo wana hillwater, kiwanda cha chaula ya kuku na mifuko, mengi sinahaja yakuelezea anajulikana hawa wote ni wapalestana ( wamachame) Rombo kuna marenga investiment n.k unaweza shusha list hapa chini
 
Uko rights sana.
 
We umefika Marangu lin? Usikute umeishia Kilema, Mamba au Mwika maana nao wamejisahau wanajiita Marangu afu ndo wanaharibu sana sifa ya Marangu. Soma post vizur, Nimesahihisha Marangu sio Kijiji wala mji ni Kata yenye Vijiji ndani yake.....
Sikujua kama Marangu bado kuna wajinga kama wewe. What a shame!
 
Wamarangu wengi ni teachers, wakibosho na warombo na wamachame % kubwa ndio matajili wa hapa mjini

Note: freshoo na harshoo wana hillwater, kiwanda cha chaula ya kuku na mifuko, mengi sinahaja yakuelezea anajulikana hawa wote ni wapalestana ( wamachame) Rombo kuna marenga investiment n.k unaweza shusha list hapa chini
Narudia tena, unapoongelea Marangu kaa ukijua ni Kata, sasa we uoni huo ni uzwazwa kupambanisha Rombo na Kata. Rombo labda ufananishe na Moshi kwa uwezo wa wapambanaji. Kaa ukijua Marangu (Vunjo) ipo Halmashauri ya Moshi Kibosho nayo iko Halmashauri Wilaya ya Moshi. Kwa upande wa Moshi tunaeza sema Kata zenye maendeleo ya juu ni Marangu, Kibosho
Sikujua kama Marangu bado kuna wajinga kama wewe. What a shame!
Kwani wajinga wengine wa Marangu wakoje, na ni wa Marangu Mashariki au Magharibi? Napenda kujua wewe ni mwerevu wa wapi?
 
Wamarangu wengi ni teachers, wakibosho na warombo na wamachame % kubwa ndio matajili wa hapa mjini

Note: freshoo na harshoo wana hillwater, kiwanda cha chaula ya kuku na mifuko, mengi sinahaja yakuelezea anajulikana hawa wote ni wapalestana ( wamachame) Rombo kuna marenga investiment n.k unaweza shusha list hapa chini
Ni hivi, katika mkoa wa Kilimanjaro palikua na majimbo kabla ya mkoloni na Moshi ndo ilikua juu yani yani kuanzia mpakani mwa Hai pale Kibosho hadi pale Mwika mpakani mwa Rombo, na ndani ya Moshi tawala za Vunjo zilikua na umoja mzuri kwani walitumia lugha moja...yako mengi sanaa . Ila kwa upande wa ualimu hii ni kutokana walijengewa chuo cha ualimu pale hata kibosho kipo basi hii ilitoa walimu wengi wasomi pia kuwepo kwa HQ ya KINAPA pale, wengi wa marangu wamejikita kwenye utali. .. ............
 
Wamarangu hupenda kusifiwa na kujiona matajiri. Ila hawa wa siku hizi ni bure kabia. Sio wa kiume wala wa kike. Wote bure kabisa! Warombo wamewashinda kwa ujinga wenu
ni ukweli uliobayana sasa kilimanjaro inabebwa na Rombo
 
Je wajua ni kata ambapo ziko mbili yani Marangu Mashariki na Marangu Magharibi kila moja yenye vijiji na vitongoji vyake ambapo imezungukwa na Kata za Mamba kwa upande wa Magharibi na Kusini na Kata za Kilema kwa Upande wa Mashariki na Kusini na hupatikana ndani ya jimbo la Vunjo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.

Wa Marangu huzungumza Kivunjo kinachozungumzwa kote na kata za Vunjo yani (Kirua, Kilema, Marangu, Mamba na Mwika) ambapo lugha ya Kivunjo wanasikilizana na Kata za Old Moshi na Mbokomu kwa mbali pia.

Marangu ilijipatia umaarufu kwa kutoa kiongozi wa mwisho enzi za Umangi, ambapo alishinda uchaguzi ndani ya Vunjo na ndani ya Wilaya ya Moshi iliyokua na Mamangi Hodari sana wakitokea Old Moshi na Kibosho akaiwakilisha Moshi akapambanishwa na Mamangi wengine wa Rombo, Hai, Siha akashinda na kuwa Paramountain Cheaf (Mangi Mkuu)makao makuu pale Moshi Mjini. KDC (Kilimanjaro District Council) Pindi Mangi mkuu alipotokea Marangu alitamani Marangu ndo pawe makao makuu ya vunjo lakin hakufanikiwa kwa kiasi kikubwa na pindi serikali ilipokabiziwa kwa wa Tanganyika makao makuu yakapelekwa pale Himo.

Kwa upande mwingine Marangu imekua maarufu kama wilaya ya Moshi inavyofahamika zaidi na kumeza wilaya nyingine yani. Mfano Wakaazi wa Rombo, Hai, Mwanga na Siha badala ya kusema Kilimanjaro wao husema wanatoka Moshi bila kujua Moshi ni Wilaya tangu ma Babu na Ma Babu.

Tukija kwa Jimbo la Vunjo Wakaazi wa Kirua, Kilema, Mamba na Mwika husema hutokea Marangu bila kujua Marangu ni Kata tangu enzi za Umangi ambapo pia Kirua, Kilema, Mamba na Mwika nao walikua na Ma Mangi.

Pia Marangu imejizolea umaarufu kabla ya Mkoloni kwa kua Dola yenye nguvu ki uchumi pamoja na Wamachame huko Hai.

[emoji347]

Marangu nilikuwa naisikia tangu zamani late 70s nikiwa huku UPARENI.Mostly wapare walokuwa wakisimulia kuwa Wachaga wa Marangu wamesoma sana!
 
zamani marangu walikuwa wanajidai kuwa ktk uchagani kwao ndio no.1 kwa makazi bomba!
Lakini siku hizi nenda Rombo, Kibosho, Uru na Machame ndio habari ya mjini!
Na hii inatokana na vijana wa maeneo hayo kuinuka sana ktk biashara ie kariakoo na |Mwenge ni wakibosho na wa Rombo na mikoa mingi sana wameibuuka mno hivyo kuchochea maendeleo kwao!
 
Kwendrwaaaaaaaaaaaaaa huko!

marangu kuna zile nyumba zile zile zimeongezeka chache mno!

Ubishoo ndio umekuwa jadi yenu!

Kwanza kumbuka marangu sio mji na hakuna mji we boya.
maboya watupu nyie, ilikuwa babu na baba zenu sio nyie mabishow!
Ujanja wa pesa hakuna! zaidi ya kufungia suruali tumboni! 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom