Mbona naona Youtube wanatumia all purpose wheat flour?Mbona hutumii unga wa mkate,,,yaani mkate Anika juani ukikauka ule unga ndo baada ya kuchovya kwenye Ute wa yai na unga unachovya Tena kwenye bread crumbs
Tahadhari ukiwa haupo.Hatutaki upike, tunataka tuje tukupikie. Uongo mbaya hizo ndude huwa naziona tu bararani hata kula sijawahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi hata kuzitamaniTahadhari ukiwa haupo.
Kaa hapa ujifunze sasa.
Nawekaje mkuu nyanya na vitunguu....Mkuu mbona hujaweka nyanya na kitunguu..? Halafu utapikaje mboga bila mchuzi..?
Pole..... ni taamu ukikuta zimepikwa vizuri.
Basi ukishajua kuzipika vizuri uniitePole..... ni taamu ukikuta zimepikwa vizuri.
Pika kama unavyopika mboga nyengineNawekaje mkuu nyanya na vitunguu....
Nipe hatua za unavyopika ebu?
Hivi umemuelewa kweli? [emoji16][emoji16]Nawekaje mkuu nyanya na vitunguu....
Nipe hatua za unavyopika ebu?
Haya acha nisubiri wapishi.....
Hahaha...wewe jamaa nadhani unajua kuchemsha chai tu.Pika kama unavyopika mboga nyengine
Tusaidiane kwemwelewa...nashindwa kabisa.
Naomba majina ya rangi unazo tumia....Ujakosea sana,usitumie bizari tumia rangi za chakula..viaz visiive sana ,vikawa uji.minapika sana na nazipenda..natumia rangi ya njano,naweka katika ngano
Haya mapishi mengine mkuu tuwaachie ke.. au unataka kuwa mjasilia Mali..?Hahaha...wewe jamaa nadhani unajua kuchemsha chai tu.
Hili neno balls hili!!😜 Kuanzia leo nikiona mtu anafanya maandalizi ya kachori nakula khona na sio Kona🏃Ukitengeneza balls,unaingiza katika uji wa ngano uwe mzito kidogo,then ndio katika mafuta
Quick question.Ukitengeneza balls,unaingiza katika uji wa ngano uwe mzito kidogo,then ndio katika mafuta
Muda mwingine unataka kubadilisha mlo mkuu.Haya mapishi mengine mkuu tuwaachie ke.. au unataka kuwa mjasilia Mali..?