Fahamu namna bora ya kutengeneza Kachori

Fahamu namna bora ya kutengeneza Kachori

Daby unahakika unatengenza Potato Balls au Fried mashed potato?
Bora ubakie na utaalam wa Maandazi na mengineo.
Kuna vitu sijaviona kama Kiini cha yai(usiulize yai la kuku au bata) sio lazima lakini.
Breadcrums( unaweza nunua supermarket, sio lazima ukaushe mkate juani)
Kwenye kulainika kw aviazi inategemea na unachemshaje viazi vyako..na aina ya viazi

Chemsha viazi bila kumenya viziive sana, usivikate vipade weka vizima.
Wewe unapikaga?
 
Je huwa unahakikisha viazi ni vikavu(havina maji) kabla ya kuviponda?
Yawezekana pia unaviivisha sana.

Hutumii ute wa yai?
Kiukweli huwa sihakikishii
 
Back
Top Bottom