Huo sio mlo ni mboga hiyo mkuu! Hushibi chochote hapo bila kuweka kitu chochote kizito na hiyo ndo sifa ya mboga😜Muda mwingine unataka kubadilisha mlo mkuu.
Wewe SI unataka utengeze Gamba la juu,,Sasa sijui huo unga una apply vipi,maana hizo ball sharti uzichovye kwenye Ute wa yai,then unaweka kwenye unga unachovya Tena kwenye Ute then unapitisha kwenye bread crumbs ndio unadumbukiza kwenye kikaangoMbona naona Youtube wanatumia all purpose wheat flour?
Kwa hiyo inaweza kuwa sababu za kiwa laini saana?
Quick question.
Kwa hiyo kinachofanya zinakuwa laini kwa ndani ni nini? Binzari? Uji wa ngano? Au ni nini?
maana ukitaste unakuta ndani laini saana na kama yale maji ya kuchemshia bado yapo.
Nitajaribu tena mkuu kwa njia yako hii.Mi nikiamua kupika,nachemsha viazi,nachanganya na vitunguu swaum,
Asante Elungata hii process yako ni ndefu sina hata bread crumbs na kutengeneza ni hatua nyingine mkuu.Wewe SI unataka utengeze Gamba la juu,,Sasa sijui huo unga una apply vipi,maana hizo ball sharti uzichovye kwenye Ute wa yai,then unaweka kwenye unga unachovya Tena kwenye Ute then unapitisha kwenye bread crumbs ndio unadumbukiza kwenye kikaango
Viazi gani sahihi kutumika?Japo mimi sizijui kwa maelezo yako nadhani aina ya viazi unavyotumia navyo vinachangia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna viazi ambavyo hata ukipika kawaida huwa vimelowa na vingine huwa na wanga na vigumu. Jitahidi unavyonunua viazi chagua vyenye magambaViazi gani sahihi kutumika?
Kachori aitumii unga wa mkate boss, unga wa mkate untumika kwenye katresMbona hutumii unga wa mkate,,,yaani mkate Anika juani ukikauka ule unga ndo baada ya kuchovya kwenye Ute wa yai na unga unachovya Tena kwenye bread crumbs
Hahaha... KhantweKuna viazi ambavyo hata ukipika kawaida huwa vimelowa na vingine huwa na wanga na vigumu. Jitahidi unavyonunua viazi chagua vyenye magamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, vipo vingine vilaini kabisaHahaha... Khantwe
Nitajaribu nimeelewa kabisa unachomaanisha.
Ila mama kuna viazi visivyo na magamba?
Chemsha viazi,vichuje kwenye chujio,viponde,unaweza kuweka vitunguu swaum,korienda,pili pili kama ukipenda,chumvi,kisha koroga uji wa ngano,weka rangi kwa sababu umesema binzari huielewi,so unachovya kwenye ngano unatia kwenye mafuta,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisiviponde niviweke hivyo hivyo vilivyo?
rangi za ubuyu zinakua kwenye vikopo vidogoNaomba majina ya rangi unazo tumia....
Kuhusu viazi kuiva kiukweli leo nilijitahidi nilikaa kuvisubiri havikuiva saana.
Ngano unatumia ipi? Ingekuwa vizuri kama ungenipa mahitaji yote na hatua mkuu.
Shukrani.
yap yan kiazi unakikata mara mbili kama n kikubwaNisiviponde niviweke hivyo hivyo vilivyo?
Sijaelewa mkuu.
uliviacha vikaiva sana viaziQuick question.
Kwa hiyo kinachofanya zinakuwa laini kwa ndani ni nini? Binzari? Uji wa ngano? Au ni nini?
maana ukitaste unakuta ndani laini saana na kama yale maji ya kuchemshia bado yapo.