Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Nisiviponde niviweke hivyo hivyo vilivyo?
Sijaelewa mkuu.
Teheteh..mkuu hawatabiriki unaweza achiwa watoto muda wowote.Mwanaume unatakiwa kujua kupika chai tu
Shida yote hii ya nn mzee babu
Wewe unapikaga?Daby unahakika unatengenza Potato Balls au Fried mashed potato?
Bora ubakie na utaalam wa Maandazi na mengineo.
Kuna vitu sijaviona kama Kiini cha yai(usiulize yai la kuku au bata) sio lazima lakini.
Breadcrums( unaweza nunua supermarket, sio lazima ukaushe mkate juani)
Kwenye kulainika kw aviazi inategemea na unachemshaje viazi vyako..na aina ya viazi
Chemsha viazi bila kumenya viziive sana, usivikate vipade weka vizima.
Kiukweli huwa sihakikishiiJe huwa unahakikisha viazi ni vikavu(havina maji) kabla ya kuviponda?
Yawezekana pia unaviivisha sana.
Hutumii ute wa yai?
nasubiriaShukrani madame S...
Nitakukaribisha nikiivisha...
Inshaallah.nasubiria
Unafahamu kuwa wanaume hupika chakula vizuri zaidi ya wanawake. Hawajui kupika kabisaMwanaume unatakiwa kujua kupika chai tu
Shida yote hii ya nn mzee babu
Wewe unapikaga?
Haujawahi kunionyesha.Napika sana tu.
Oouh...nikajua wewe fundi wa kachori.Mimi nazipenda sana na nikiwa job ndio kitafunwa changu hicho yaani hadi wanaoniletea chai wanajua.
Lakini Kaka Masai mwenzio sijawahi zipika pia. Ngoja nimuite huyu mdada ye ndio anapikaga mara kwa mara.
ukhuty njoo utupe maujuzi mdogo.
Hapana Kaka. Mi naweza vitu vya nazi nazi . 😅Oouh...nikajua wewe fundi wa kachori.
Shukrani.
Natakiwa nipike sio dadaMimi nazipenda sana na nikiwa job ndio kitafunwa changu hicho yaani hadi wanaoniletea chai wanajua.
Lakini Kaka Masai mwenzio sijawahi zipika pia. Ngoja nimuite huyu mdada ye ndio anapikaga mara kwa mara.
ukhuty njoo utupe maujuzi mdogo.
Basi kher nitapika day moja
Kwenye kuonja msinisahau🤪Basi kher nitapika day moja
Mmh! Kuna pishi linalokushinda kweli Shadeeya?!! Labda kiti moto tu🤣🤣🤣🤣, vinginevyo uko vizuri haswaa🤪🤪🤪Hapana Kaka. Mi naweza vitu vya nazi nazi . 😅
Karibu.
Hahah sio vizur kuonja kakaKwenye kuonja msinisahau🤪