Fahamu namna ya kuepuka/kutatua tatizo la kutokuona vizuri

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
325
Reaction score
39
Hello Wanajamii! Bila shaka kila mtu anaendelea vizuri na kazi zake za kila siku na hatuna budi kushukuru kwa hilo. Tunapenda kupanga mambo yetu ya kimaisha na yanatakiwa yaende kama yalivyopangwa. Napenda kudokeza jambo kuwa siri ya mafanikio ya mipango mingi ni kushirikishana. Kila jambo katika jamii hufanikiwa zaidi kwa kushirikiana. Mtu anaweza akafanya jambo mwenyewe akafikiri amefanikiwa kumbe angeshirikisha na wengine angefanikiwa zaidi. Watu wakishirikiana huwa hata likitokea tatizo lolote pia hushirikiana kulitatua na huonekana dogo sana tofauti na mtu angekuwa nalo mwenyewe aanze kukabiliana nalo mwenyewe.
Mimi hapa kama mwanajamii anayependa ushirikiano napenda kuwashirikisha jambo kuhusu afya na nagusia kuhusu tatizo la kutokuona vizuri. Tatizo la kutokuona vizuri ni jambo ambalo huanza muda mrefu na watu walio wengi huona ni jambo dogo huku wakiendelea kufanya kazi nyingine za uzalishaji bila kufutilia kuhusu afya ambayo ni muhimu na inastahili ipewe nafasi ya kwanza katika maisha. Watu wengi tatizo hili hukua na kuwa kubwa ifikapo umri baada ya miaka 40. Vyakula tunavyokula mara nyingi huwa ndiyo tatizo sababu vile virutubisho muhimu kwa ajili ya kujenga uwezo wa kuona vizuri hukosekana na hata kama vinakuwepo ni kwa kiasi kidogo na hiyo hutokana kwa uharibifu wa asili wa mimea yetu mashambani. Mfano utaratibu wa kilimo uendeshwao huchangia mimea kukosa virutubisho asilia. Pia uchafuzi wa mazingira ni jambo lingine linalochangia sababu kemikali nyingi huzalishwa na viwanda kupitia njia tofauti tofauti. Baadhi ya vyakula ambavyo ni vizuri sana kwa ajili ya kuongeza uwezo wa kuona vizuri ni kama mayai, spinach, strawberries,zabibu,avocado
Kwa kuwa vingi hatuvipati katika njia asilia tunaweza kupata lishe nzuri iliyoandaliwa kiasilia na ikafanyiwa utafiti kwa miaka mingi na kuonekana kutokuwa na madhara katika afya ya mwanadamu na ikashauriwa itumike kote ulimwenguni na hadi muda uliopo imeshasambaa sehemu kubwa ya dunia. Imedhibitishwa itumike kwa ajili ya afya na kwa majibu mazuri. Hapa Tanzania lishe hii pia imethibitishwa na TFDA itumike kwa ajili ya Watanzania siyo kwa walio na matatizo tu bali hata kwa wale ambao wanafikiri hawana matatizo sababu mtu unakuwa unakula lishe na kuzidi kujenga afya.

Fuatilia kwa makini maelezo ya lishe husika hapa chini.

CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.

CORDY ACTIVE

Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps, sinensis. Mmea huu unapatikana Asia Mashariki uko kwenye familia ya kutumia mizizi na uyoga. Kinatumika kiini chake kinachoitwa cordy cepine.

FAIDA ZA CORDY ACTIVE

  • Huimarisha kinga ya mwili. Uchunguzi unaonyesha kuwa bidhaa hii ina kila kitu tunachohitaji mwilini(vitamin,wanga,protini,madini nk)
  • Huondoa matatizo yote kwenye mfumo wa hewa(upumuaji).
  • Huponya pumu, dyspnea, allergy, homa ya mafua
  • Kuondoa msongo wa mawazo na uchovu mwilini.
  • Kuondoa matatizo ya figo, moyo kutanuka.
  • Matatizo ya uvimbe, kuzuia kansa kuenea mwilini

Kwa yeyote mwenye swali au mwenye kutaka ushauri anaweza kufanya mawasiliano kupitia 0776491294 au kuandika ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com

Gharama za CA + FE + ZI Plus ni Tsh.51000/- na CORDY ACTIVE ni Tsh. 66500/-
 
Attachments

  • CA+FE+ZI Plus.jpg
    CA+FE+ZI Plus.jpg
    16.2 KB · Views: 75
  • CORDY ACTIVE.jpg
    CORDY ACTIVE.jpg
    16 KB · Views: 73

Nashukuru ndugu kwa elimu na kama nataka nitakupataje?
 
lakin naona bei kubwa sana watanzania weng wanamatatzo na umasikin umetawala nadhan kama una nia ya kusaidia watu ungeshusha gharama kila mtu aweze kumudu
 
Hiyo gharama ni ile tu inayowezesha kuendesha upatikanaji wake hapa nchini. Siyo dhamira ya kutotaka kuwasaidia wanajamii zaidi ya hapo ila ndiyo imefika kikomo. Gharama kubwa inatumika katika kupata materials, kuandaa na kuhifadhi, kusafirisha na gharama nyinginezo.
lakin naona bei kubwa sana watanzania weng wanamatatzo na umasikin umetawala nadhan kama una nia ya kusaidia watu ungeshusha gharama kila mtu aweze kumudu
 
Hapo ulipoweka hiyo product ndiyo ulipoharibu. Ningekupa like kama ungeelezea hayo madini (CA + FE + ZI plus ) yanapatikana kwenye vyakula gani vya asili. Kuishi kwa supplememnts za viwandani ni risk mkuu!!
 
Nimetolea mifano ya aina ya vyakula kama utakuwa umesoma na kuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom