Sorry mkuu me nauliza kwa mfano nyumba ya vyumba viwili kimoja master ,
Kuna public toilet, Kuna seating room ...
Kwa makadirio ya haraka haraka huchukua tofali ngap za msingi? Na kuta
Master ikawa na ukubwa wa M 4....
Msaada ?