Fahamu nchi yenye bei kubwa na yenye bei ndogo kwa uuzaji wa Data

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei ndogo zaidi ya data.

Israel ndio nchi ambayo kifurushi cha internet huuzwa kwa Bei ndogo kuzidi nchi zote, Nchini Israel 1GB huuzwa kwa shilingi za kitanzania 150/= au chini ya 150

Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei kubwa ya data.

Guinea Equitorial ndio nchi ambayo kifurushi cha internet huuzwa kwa Bei kubwa kuzidi nchi zote, Nchini Equatorial Guinea 1GB huuzwa kwa shilingi za kitanzania 115,000/= na zaidi
 
Kesho jitahidi ulete na takwimu za juu ya uishaji wa Hilo bando yaan linachukua mda gan had kuisha

Mm gb 1 kulingana na Kaz zangu natumia masaa 12 TU

Sasa ningekuwa guinea ya ikweta Kila siku ningetumia 115k kwa mwez n Kama 3M+

GUINEA WANATISHA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu,

Lakini unaambiwa Nchini Guinea Internet hutumiwa kwa shida maalumu kabisa. Huko mtu haungi bundle ili kufuatilia habari au umbea mwingine mtandaoni kwa sababu chanzo kikubwa cha habari nchini humo ni Radio na internet si kipaumbele kabisa labda hadi uwe na shida kubwa kuingia mtandaoni.
 
Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei ndogo zaidi ya data.

Israel ndio nchi ambayo kifurushi cha internet huuzwa kwa Bei ndogo kuzidi nchi zote, Nchini Israel 1GB huuzwa kwa shilingi za kitanzania 150/= au chini ya 150

Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei kubwa ya data.

Guinea Equitorial ndio nchi ambayo kifurushi cha internet huuzwa kwa Bei kubwa kuzidi nchi zote, Nchini Equatorial Guinea 1GB huuzwa kwa shilingi za kitanzania 115,000/= na zaidi
Upumbavu, ujinga na ulafi wa viongozi wa kisiasa ndyo wanafanya gharama za internet ziwe juu katika nchi husika.
 
Na Bongo tunaelekea kuwa na bei kubwa zaidi.
 
Bei za data zinaongezeka sio bongo tu,angalia Kenya na kwingineko bei zinapanda nako.so,tusiilaumu serikali bhn
 
Sasa ww ulitaka tumlaumu nan?
Kwasababu kila ki2 kipo chini ya serikali TCRA ipo chini ya serikali.
Umeme umepanda nakwasasa unakatikakatika hovyo tofauti na cku 10 walizotoa sasa lawama zote ni kwa serikali hakuna namna.
 
Bei za data zinaongezeka sio bongo tu,angalia Kenya na kwingineko bei zinapanda nako.so,tusiilaumu serikali bhn
Ni kweli lakini hiyo hiyo serikali ndio inatakiwa kuhakikisha vifurushi ni rafiki.
 
Back
Top Bottom