Sawa mkuu,Kesho jitahidi ulete na takwimu za juu ya uishaji wa Hilo bando yaan linachukua mda gan had kuisha
Mm gb 1 kulingana na Kaz zangu natumia masaa 12 TU
Sasa ningekuwa guinea ya ikweta Kila siku ningetumia 115k kwa mwez n Kama 3M+
GUINEA WANATISHA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Upumbavu, ujinga na ulafi wa viongozi wa kisiasa ndyo wanafanya gharama za internet ziwe juu katika nchi husika.Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei ndogo zaidi ya data.
Israel ndio nchi ambayo kifurushi cha internet huuzwa kwa Bei ndogo kuzidi nchi zote, Nchini Israel 1GB huuzwa kwa shilingi za kitanzania 150/= au chini ya 150
Fahamu Leo; Ifahamu nchi yenye Bei kubwa ya data.
Guinea Equitorial ndio nchi ambayo kifurushi cha internet huuzwa kwa Bei kubwa kuzidi nchi zote, Nchini Equatorial Guinea 1GB huuzwa kwa shilingi za kitanzania 115,000/= na zaidi
Sasa ww ulitaka tumlaumu nan?Bei za data zinaongezeka sio bongo tu,angalia Kenya na kwingineko bei zinapanda nako.so,tusiilaumu serikali bhn