Fahamu njia watumiazo wadada kupata wachumba JF baada ya tangazo

Hivi kumbe huwa wako serious? Mie najuaga ni changamsha genge tu.
 
Hasira + kuomba papuchi vinaweza kuniengua kwenye kinyang'anyiro not les than 5 min. Yaan mdada nitume sms zipite do 2 hajajib, huyo tumeshapishana tyr
 
Vipi wale waliokula Tunda kimasihara na commentz zao hawana nafasi,,?

[emoji121]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Ipo wazi.

Unapomfata mwanamke aloweka tangazo.. Bila shaka mtachujwaaaa lazima wabaki 2--5


Sasa nyie ndo mtachezeshwa sana tu..nakwasababu nahilo wanaume wanalijua...


Nyuzi za "Bado natafuta"......

Swali kubwa nikwamba, mwanamke akivutiwa amevutiwa... Pamoja na kupata mmoja, je atakubali kuwaacha wale wawili ambao pia aliwakubali???

NI IMANI TU
 

Tatizo lao hawajui wanachotafuta..
 
Sijawahi kuamini Kama mtu unaweza pata mpenzi humu, Ngoja niendelee kujifunza
[emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahaha nimeandika nikafuta! "he will come and knock, and knock anrd go on knocking, until you let him (her) in, then God help you" hii extract nimeitoa kwenye Novel inaitwa BLOOD AND FLESH. Huyo "he" inamuwakilisha shetani! Kama shetani wako she unaweza Ku -replace accordingly
 
Vipi wale waliokula Tunda kimasihara na commentz zao hawana nafasi,,?

[emoji121]

Sent using Jamii Forums mobile app

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukiingia kwenye kinyang'anyiro na uliwai kujimwambafy kula tunda kimasihara basi kaa ukijua siku zako zinahesabiki..

Wanatabia ya kusoma kila kitu ulichowai kuandika jamvini..

Yani hawa viumbe banaa..
 
Utatongoza leo anakataaa ...ukitongoza mwenzake /rafiki anakasirika
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatari na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…