Fahamu nuksi, balaa na mikosi unayoweza kusababisha wewe mwenyewe bila kujua

Fahamu nuksi, balaa na mikosi unayoweza kusababisha wewe mwenyewe bila kujua

Mtoa mada: Maisha ya sasa hatuna vyoo vya nje ya nyumba. Ila tuna vyoo ndani ya Nyumba. Hivyo ndoo, dishi, Taulo, ndala, sabuni, dodoki, toilet papers, dawa za meno na miswaki hubaki chooni / bafuni. Kwa maana hiyo tiyari wote tuna ishi na majini ndani.

1. Katika hili tufanyeje?

2. Njia panda nyingi na masoko makubwa ya watu wengi kuna dawa tuna zipita bila kujua. Mm niliwahi paramia nazi zime vunjwa njiani usiku saa 6 na dk 10 hivi niki toka kuangalia mpira. Je, mikosi na nuksi kama hizi ambayo kwa bahati mbaya umeingia bila kufahamu. Una ivunja vipi?
 
Naomba ufafanuzi kwa tunazotumia master bedroom, yaani chumba Cha kulala na choo ndani humohumo hii ikoje?
Ni choo hicho majini yapo humo ikitokea umeanguka usipokufa basi utapooza mwili au utapata madhara mengine!
 
choo nijenge mwenyewe halafu uniambie kinamilikiwa na jini, mbususu za chooni nshakula sana hata kwenye vyoo vya kumbi za starehe na sherehe na nafanikiwa kama kawaida sina mkosi wowote, jini mwenyewe akijichanganya nakula si kaleta mwenyewe...Uwoga wako umaskini wako.
 
choo nijenge mwenyewe halafu uniambie kinamilikiwa na jini, mbususu za chooni nshakula sana hata kwenye vyoo vya kumbi za starehe na sherehe na nafanikiwa kama kawaida sina mkosi wowote, jini mwenyewe akijichanganya nakula si kaleta mwenyewe...Uwoga wako umaskini wako.
Ni kweli kwenu ila mie sipendagi unafanyaje sex bafuni
 
Wahenga wa eneo hili mliopo hapa karne na karne, I beg you and wish to do so have this as a gift and let me continue doing my so so) pour under tree avail nearby /but you can pray and command in Jesus name all (uptoyou) decision matters!
Ukimuamini Mungu anatosha
 
Usipende kuacha vyakula wazi usiku halafu asubuhi una mpango wa kukila tena si vizuri kiusalama kula vyakula vinavyolala wazi usiku kucha ,sababu wachawi wana kawaida wanapoingia katika nyumba ya mtu na kumaliza kufanya yao wanatia sumu za kichawi katika vyakula vinavyolala wazi.

Mambo muhimu yakuzingatia usipige mswaki kwa mkaa, usiokote shanga cheni, hirizi wala kitu chochote usichokifahamu na kukitumia. Ukimaliza kufanya mapenzi jisafishe hata kama ni gest.

Usichukue mke wala mume wa mtu, kile kiasi au raha unayoipata umedhulumu haki ya mwenzio Mungu huanza kukunyoosha hapahapa ikiwa hujafanya toba.
Bibi yanngu na wanae wamekuwa waking'arisha meno yao kwa mkaa kwa miaka sasa sijaona wakikutana na adha yoyote
 
Back
Top Bottom