Fahamu nyimbo kali sana za kumdectia mpenzi wako zitakazomfanya alainike hata kama ana hasira vipi

Fahamu nyimbo kali sana za kumdectia mpenzi wako zitakazomfanya alainike hata kama ana hasira vipi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Hizi ndo nyimbo kali balaa ukumuimbia mupenzi wako lazima alainike hata kama kachukia vipi , twende sasa tuimbe kwa pamoja


Mabata madogo dogo yanaogelea yanaogelea katika shamba zuri la bostani
Yanapenda kulia kwa kwa kwa kwakwa ,kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa

Yanapenda kutembea bila viatu bilaaaa ,bila viatu bilaaaaa katika shamba zuri la bustani[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji444]



Nyingine hii

Najua kuhesabu namba ,moja mbili tatu , nne tano sita saba nane tisa kumi
Vidole vya mikono yangu jumla yake kumi huku tano na huku tano jumla yake kumi[emoji446] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji442]



Ester hallow there I say come here

Look at the motor car ........[emoji446] [emoji446] [emoji445] [emoji443] [emoji445] hapa kama alikuwa anataka kuondoka lazima atarudi tu kwa bashasha tele na utapokea busu la nguvu la shavu



Nyingine ndo hii

If you are happy and now clap ur hands[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

If ur happy and now clap ur hands [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

If ur happy and now I really want u to show ........




Nikianza na mimi hii nyimbo iende kwa mke wangu shunista au shunie nampenda sana


Na wewe je taja nyimbo zako tumfikishie mama/baba chanja wako
 
Nyingine hii hapa, Kitanda kidogo kinabanabana, nunua kikubwa tulale wawili,
raha ikizidi tuangushane.
Simtaki mzee kama bibi yangu, namtaka kijana maungoni mwangu, nikilala naye angali mdogo.......
 
If you are happy and now clap ur hands[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

If ur happy and now clap ur hands [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

If ur happy and now I really want u to show ........

upload_2016-11-24_11-14-32.jpeg


Ulisema unasoma chuo gani tena?
 
  • Thanks
Reactions: iw8
Mi nimekuja mbio mbio nikijua nyimbo za maana kumbe mabata twna bc Ongeza na "kokoro"
 
Huwa nasema uwezo wa kufikiri kwa watanzania unapungua sana ,sasa ile Tanzania ya uchumi wa kati na viwanda sijui tutaifikiaje.
 
Muwekee Blues na RnB za Gerald Lavert,Joe Thomas Lionel richie Luther vandross Teddy Pendegrass Whitney Houston Maria Carey Michael Button na wengine wengiii wa zamani. Hao ndio walipiga nyimbo zilizotulia mpaka sasa .Sio Sebene la twanga pepeta na super nyamwela
 
Back
Top Bottom