Fahamu nyimbo kali sana za kumdectia mpenzi wako zitakazomfanya alainike hata kama ana hasira vipi

Hata hii pia ni bonge la dedication- [emoji441][emoji445]zunzu zunzu we mama nyukilia eeeh (nyukiiiii)
Zunzu zunzu we mama nyukilia eeeh (nyukiiii)
Kwenda mbali kutafuta ua zuri la chakula
Zunzu zunzu we mama nyukilia eeeh[emoji445][emoji441]
 
kama Haujui maana ya nyimbo maana usisemee mapenzi ya kizungu
 
Mi nadhan ni kweli maana hizi nyimbo za utani sana alafu atakumbuka mbali ila sikushaur kujaribu
 
Masikini tunda langu
ayee ayeee
Tunda luna rangi mbili
Ayeee ayeeee
Likiiva ni manjano
Ayeeeee ayeeee
Likiiva ni jekundu
ayeeee ayeeee

Tunda tunda hilooo
Tunda tunda hilooox4
 
Naona jamaa yupo kiutani ila watu wanajifanya wapo serious 😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…