Fahamu sababu 10 za ARGI+ na kwanini ni muhimu kwa afya yako.

Fahamu sababu 10 za ARGI+ na kwanini ni muhimu kwa afya yako.

Uhuru Peak

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
23
Reaction score
8
attachment.php


Ina 5 grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja, na vitamini mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu. L-Arginine ni amnino acid muhimu sana kwa afya kiujumla. Mili yetu inaibadilisha kuwa nitric oxide, ambayo inasaidia mishipa ya damu kutanuka na kuruhusu damu kupita. ARGI+ pia ina viondosha sumu kama Pomegranate.

Faida 10 za ARGI+

1. Ni kirutubisho muhimu sana kutumiwa kila siku kwa ajiili ya kusaidia mifumo yote ya mwili ili kuupa mwili uwezo wa kufanya kazi vizui zaidi.

2. Inasaidia mfumo wa kinga ya mwili, kutokana na nitric oxide ambayo inatumiwa na chembechembe nyeupe za damu kuua bacteria. Hivyo kuupa mwili uwezo zaidi wa kupigana na magonjwa.

3. Inasaidia kurekebisha kiwango cha "blood pressure kiwe sahihi na afya ya mzunguko wa damu ya moyo kiujumla.

4. Inasaidia kutengenezwa kwa mifupa na mwili kiujumla hivyo ni nzuri sana kwa tatizo la waliovunjika mifupa au wenye mifupa dhaifu.

5. Nitric oxide inayotengenezwa inaongeza mzunguko wa damu ndani ya mwili na hivyo inasaidia kuongeza NGUVU ZA KIUME.

6. Inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu, pamoja na kupunguza mafuta ndani ya mwili. Ndio maana ni nzuri sana kwa wanawake na wanaume wanaofanya mazoezi.

7. Ina "Pomegranate" na vimelea vya matunda ambavyo ni viosha sumu, husaidia kuondoa madhara ya "FREE RADICALS" mwilini

8. Inavimelea vitokanavyo na "RED WIN" ambayo inasidia kushusha kiasi cha "CHOLESTROL" mwilini.

9. Inaongeza uwezo wa mwili kutumia insuline (Insuline Sensitivity) hivo inafaa sana kuweka uwiano wa sukari mwilini.

10. Inasaidia kutoa hormones zinazopunguza kasi ya kuzeeka, kukufanya uonekane chini ya umri wako.

Matumizi:
Kijiko kimoja cha ARGI+ na 200mls za kinywaji cha Aloe Vera au Juisi, Maji au Maziwa Mtindi.

Naipataje ARGI +?
Kama upo Dar es Salaam tutakuletea mahali ulipo, kama upo mikoani tutakutumia huko.

ARGI+ inauzwa Kiasi gani?
Gharama yake ni 132,000 tuu.


WhatsApp/ SMS 0753 706 284


<strong><font size="4">
Kwa Tanzania ARGI+ imethibitishwa na TFDA kupitia FLP Tanzania

72883_395163473960470_10746431  94_n.jpg
 

Attachments

  • argi.png
    argi.png
    84.9 KB · Views: 66,617
Last edited by a moderator:
Over the last decade or so, L-arginine which is an amino acid has received a lot of attention thanks to Dr. Ferid Murad. His research which won him the 1998 Nobel Prize in Physiology or Medicine showed that - L-arginine worked in the body by being converted to nitric oxide which acts as a signalling molecule in the cardiovascular system, bringing about the dilation of blood vessels.

ARGI+ combines the benefits of L-arginine with those of a vitamin complex (vitamins C, K2, B6, D3, B9 and B12). Watch the video below to see what Dr. Ferid Murad has to say about ARGI+.


What Are The Benefits Of ARGI+


1- ARGI+ is a marvellous daily supplement that supports better health throughout many systems of the body, delivering optimal performance. -

2- Supports the immune system. the nitric oxide from L-arginine is used by white blood cells and other cells of the immune system to fight against bacterial infections. Nitric oxide makes these cells more lethal.

3- Helps maintain healthy blood pressure and cardiovascular system. Nitric oxide dilates the blood vessels, hence reducing blood pressure levels.

4- Aids in bone and tissue growth repair, so is particularly appropriate after fractures and soft tissue injury.

5- Nitric oxide formed from L-arginine permits greater blood flow and may improve sexual function. Sexual organs rely on a good blood supply for better functioning.

6- Increases muscle mass and strength, whilst reducing the amount of fatty tissue. L-arginine helps your body manufacture creatine, a protein that contributes to muscle mass and power. It also helps the body get rid of creatinine which is a waste product of the muscle building process. This is a great benefit for sports men and women.

7- The pomegranate and fruit components added to ARGI+ are a rich source of antioxidants; needed to fight the damaging effects of free radicals.

8- Contains an extract of red grape that helps reduce blood cholesterol levels.

9- Affects insulin sensitivity, so it is particularly useful in maintaining blood glucose control. A benefit which will be appreciated by diabetic patients.

10- Acts to increase anti-ageing hormones. No one wants to look older than their actual age right?

The vitamins added to ARGI+ have the following benefits.

Vitamin C: important for immune system, a healthy nervous system, concentration, sleep, healthy bones and skin.

Vitamin K2: for bone formation, blood clotting, healing and vitality.

Vitamin B6: for the immune system, a healthy nervous system, brain, muscles, oxygen transportation, protein, fat and carbohydrate.

Vitamin D3: for the immune system, bones, healthy nervous system and positive mood. Vitamin B9: for new cells, brain, nerves and growth.

Vitamin B12: for healthy nervous system, positive mood, brain, growth and oxygen transportation.

A daily serving of ARGI+ mixed with 8 ounces (240ml) of water or any of the aloe drinks
 
Mkuu tunawaona watu mliowapotosha na kuacha matibabu na hatimaye kuaga dunia
 
Mkuu tunawaona watu mliowapotosha na kuacha matibabu na hatimaye kuaga dunia

Mkuu,

Hii sio dawa. Ni virutubisho (supplements). Kama unakunywa dawa za hospitali endelea kunywa pamoja na hizi. Hizi ni vyakula vinavyokupa wewe virutubisho mwili uweze kufanya kazi vizuri.

Ni kweli watu wanakosea wakidhani ni dawa. Hivyi ni vyakula..
 
mkuu ni vizuri mkaweka wazi limitations za hizi virutubisho vyenu,mnapenda hela huku mnasababisha majanga!
 
mkuu ni vizuri mkaweka wazi limitations za hizi virutubisho vyenu,mnapenda hela huku mnasababisha majanga!

Ni kweli mkuu watu wanakosea sana wanapokuwa wanavielezea na jinsi vinavyofanya kazi na hii inapelekea watu wengi sasa hivi inakuwa shida kuamini. Mimi pia nilishaimbishwa mwanzo na mtu ambaye nikamuuliza maswali je naruhusiwa kunywa na pombe akashindwa nijibu.

Nilichogundua ni kwamba watu wanakosa elimu ya kujifunza hivi vitu vinafanyaje kazi. Wanashindwa kujua tofauti ya dawa na virutubisho.

Nikuhakikushie mkuu hivi virutubisho vinafanya kazi vizuri sana na zina ubora wa hali ya juu.
 
Ni vyakula kwa maana vinaweza kutumiwa hata na mtu asiye umwa???
Vyakula natural vitabaki na hadhi yake;hizo supplements zenu ni majanga matupu.

mimi ni mmoja wa watumiaji wa hizo food supplement za forever, nina mtoto wangu alikuwa anamatatizo ya kukosa hamu ya kula. Baada ya kuanza kutumia Forever kids nutrient supplement, anakula vizuri na afya yake imeboreka sana! Tusipende kutoa negative comments kwa vitu tusivyovifahamu kwa kina, acha mawazo yako yabakie yako na wenye facts wapresent facts.
 
mimi ni mmoja wa watumiaji wa hizo food supplement za forever, nina mtoto wangu alikuwa anamatatizo ya kukosa hamu ya kula. Baada ya kuanza kutumia Forever kids nutrient supplement, anakula vizuri na afya yake imeboreka sana! Tusipende kutoa negative comments kwa vitu tusivyovifahamu kwa kina, acha mawazo yako yabakie yako na wenye facts wapresent facts.

Mkuu uko sahihi kabisa!!

Unajua huwezi kumzuia mtu kutoa mawazo yake ila hizi products za FOREVER LIVING si usanii na ni muhimu sana kama unataka kuwa mwenye afya katika kipindi kirefu.

Mimi nimejiunga nao hao jamaa kwa kweli vitu vyao ni Top Quality Products!! Kuna wazee nimewapa Aloe Vera Gel bila ya kutaka malipo nikiwapa watumie waliona mabadiliko makubwa na sasa wanauliza kila product iliyopo.

Kila mtu ana views zake ila elimu inahitajika zaidi na matumizi sahihi ya hizi products.
 
Kumekuwa na upotoshaji wa kiwango cha juu kuhusu bidhaa hizi za Forever., mtu mmoja alianzisha uzi humu akifananisha huduma za bidhaa hizi na DECI, akathubutu kuwaita wasambaza bidhaa hizi kuwa 'mbwa'. Sikuipenda lugha hii na uzi wote kwa ujumla wake, sababu unapotosha, na mwanzishaji wa uzi ni dhahiri hajui lolote juu ya FLP. Binafsi mimi ni mtumiaji wa bidhaa hizi na faida zake kiafya nimezipata na ninaburudika nazo hadi sasa. Ni bidhaa zenye ubora na uasili halisi, kwa yeyote aliyekwenda shule atafuatilia maelezo ya ubora na manufaa ya bidhaa hizi na kujiridhisha, hawezi kukurupuka na maneno ama lugha zisizostahili.. Ustaarabu ni muhimu.
 
Kumekuwa na upotoshaji wa kiwango cha juu kuhusu bidhaa hizi za Forever., mtu mmoja alianzisha uzi humu akifananisha huduma za bidhaa hizi na DECI, akathubutu kuwaita wasambaza bidhaa hizi kuwa 'mbwa'. Sikuipenda lugha hii na uzi wote kwa ujumla wake, sababu unapotosha, na mwanzishaji wa uzi ni dhahiri hajui lolote juu ya FLP. Binafsi mimi ni mtumiaji wa bidhaa hizi na faida zake kiafya nimezipata na ninaburudika nazo hadi sasa. Ni bidhaa zenye ubora na uasili halisi, kwa yeyote aliyekwenda shule atafuatilia maelezo ya ubora na manufaa ya bidhaa hizi na kujiridhisha, hawezi kukurupuka na maneno ama lugha zisizostahili.. Ustaarabu ni muhimu.

Mkuu,

Unachosema ni kweli kabisa.

Tatizo lililotokea ni kwamba mwanzoni kabisa watu waliojiunga FLP walikuwa hawana elimu ya kutosha ya jinsi ya kumarket bidhaa zao. Walikuwa wanazita dawa na watu wakawa wanaacha dawa za hospitalini. Sasa hiyo ikaleta mkanganyiko mkubwa. Ila hizi ni bidha nzuri na zenye ubroa wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom