Fahamu sababu 10 za ARGI+ na kwanini ni muhimu kwa afya yako.

Zimezibitishwa na T.B.S, namaanisha zinanembo ya T.B.S ?.
 
Ni afadhali niendelee kula mbogamboga za majani na matunda nitapona magonjwa yote kuliko kujiingiza huko
 

Hapo kwenye Red nafikiri inawafaa ambao wana matatizo ya kudindisha na sio wale wanaomwaga mapema hivo sidhani kama heshima ya ndoa itarejeshwa maana Erectile dysfunction sio shida kwa wengi
 
mkuu ni vizuri mkaweka wazi limitations za hizi virutubisho vyenu,mnapenda hela huku mnasababisha majanga!

Sometime kama hauelewi ni bora kukaa kimya...
Wee ndo unajaribu kupotosha watu wenye matatizo

Siku zote msomi hadanganywi jaribu kuingia Google uulize matumizi ya hiyo dawa na uone Kabla ya kukulupukia keyboard ku-comment
 
Mimi ni Tomaso vipi zina Lebo ya FDA Wa USA huko zinapotoka? Kama akuna then kuna walakini
 
Mkuu, Bidhaa zenu ni nzuri ila tujiulize


Kama Africa tuna vyakula vingi sana organic, kwa nini tusiconcentrate kwenye oroginal supplements from the raw foods . Kama Asali /Mdalasini -inasaidia tumbo, Maji ya Lemon na Asali na ginger yanasaidia kifua na alegry etc kuna so many herbal foods zinazoweza kutupa firsthand nutrients. Kumbuka hizi supplements zimekuwa processed na preserved so hata tukiadvertise vipi kuna content imekuwa lost.

Gharama: ili mtu atumie pack ya 132,000 ni mtanzania yupi tunamlenga? definately tunarudi kule kule - ni bora anunue matunda na mboga ale organic food.

Akishindwa kabisaaaaaaa na bajeti inamruhusu then last resort yaweza kuwa hizi supplement .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…